Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

nyumba za magomeni mlizoahidiwa na SIZONJE zimebuma...
hakuna ujenzi unaoendelea. na wananchi mlitegemea mkae hapo miaka mitano bureeee.
kumbe ilikuwa zuga tu hakuna cha ujenzi pale ni mashimo tu yamebakia.
Akili hasi hizi
 
Humprey Killo, alisema kwa sasa wanaendelea kutoa udongo wenye rutuba ambao hauhitajiki katika ujenzi baada ya kukamilika wataanza kuchimba misingi kwa ajili ya ujenzi huo unaotarajiwa kukamilika baada ya miezi 12.
Hivi miezi 12 si ingekuwa mwaka 2017?
 
Kwanini Ccm hawesemi ukweli kwamba hali ya kifedha kwa nchi ni mbaya..miradi mingi ikiwemo ya barabara imekwama
 
Back
Top Bottom