Sheria ya manunuzi imekufa??? siioni wapi procurement imefanyika, tuendako ni kugumu.
Hakuna cha sheria ya manunuzi wala nini. Jana kawaambia bandari waende Google search wakaangalie mashine za kukagua mizigo wanunue.Sheria ya manunuzi imekufa??? siioni wapi procurement imefanyika, tuendako ni kugumu.
Hongera sana serikali ya JPM.
Ninafahamu kwa kiasi contract law. Maana ya agency kwenye sheria sio kama inavyotumika kwa wakala wa serikali. Inapokuwa wakala wa serikali inakuwa kama extended arm ya serikaliunajua maana ya agency mzee, nenda kasome sharia ya mikataba au contract law ndio utajua ni maana ya agency
hilo pango watalipa kwa bei gani?Miaka 5 wanaweza iona mingi lakini watashangaa imeisha...ndipo watakapoanza kutafutana[emoji55] [emoji55]
Iko siku atakuahika ta na wewe utasema hongera jpm
wewe kushinda hapo Lumumba kwenye corridor na kilaptop chako used unapost upuuzi unajiona una haki kuliko wengine, Mimi ni mtaalamu mbobezi naweza kwenda Fanya kazi nchi yoyote siyo kama wewe unategemea kulipwa buku 7 na sendakaWatu kama ninyi hatuwataki hii nchi, raisi wa JMTZ yuko juu ya Sheria, kama hautaki hama nchi au kunywa sumu!
Mradi utaendelea, utakamilika na Watanzania kunufaika nao, mambo yako ya Sheria mtafute Tundu lisu mkajadiliane huko sisi tunataka nyumba za kuishi na ndio muhimu kwetu!
Hii nchi haina priorities
Mkuu naona unataka kuturudisha nyuma.procurement of goods and services) ingia website ya PPRA uisome sheria ndo taelewa namaanisha nini
huwezi kunielrwa level yako ya kuelewa mambo bado ni ndogo. IPO siku utanielewa tu huko tuendakoMkuu naona unataka kuturudisha nyuma.
wewe kushinda hapo Lumumba kwenye corridor na kilaptop chako used unapost upuuzi unajiona una haki kuliko wengine, Mimi ni mtaalamu mbobezi naweza kwenda Fanya kazi nchi yoyote siyo kama wewe unategemea kulipwa buku 7 na sendaka
Ongea taratibu mkuu mzee wa push down asikusikieWale wa maafa ya tetemeko wanaolala kwenye mahema nao vipi?
Mie nimekupa utaratibu ambao wahandisi hutumia!Na mie ni shuhuda wa huo mfumoNijuavyo mimi kuna 'emergency' procurement kwa situation kama hiyo uliyoitaja hapo juu, na zaidi method inayotumika kwenye nature ya namna hiyo ni 'single source procurement', na hiyo ina procedure zake nenda kwenye msaafu utakuta vifungu kwenye sheria za manunuzi utaikuta, nayo haiko bwerere ina utaratibu wake wa kutosha ki emergency hivyo hivyo. PPRA hawakuachi bure bila kukamilisha hizo taratibu ndugu.
Jambo la msingi,kama wameamua 4G, tenda za mwendo kasi, wajenge majengo yenye ubora na yatakayohimili tetemeko la ardhi kama lile la Bukoba.TBA ni agency ya serikali, ndio kusema serikali ina internal capacity kujenga mradi huo, so hakuna issue ya procurement
Mkuu hebu tusaidie ni priority ipi ungeitoa wewe badala ya hizo nyumba endapo ungekuwa wewe ndio jpm?maana hata hiyo nayo ni moja ya priorities.Hii nchi haina priorities
Wajenge zao...wapewe maghorofa kwani wamelifanyia nini taifa hili?MIAKA 5 WATAKAA BURE BAADA YA HAPO?
Kwa taarifa yako TBA NI taasisi ya serikali ambayo kazi yake NI kujenga nyumba,na ndio wanaojenga hostel pale mlimani.Sheria ya manunuzi imekufa??? siioni wapi procurement imefanyika, tuendako ni kugumu.