nyumba za magomeni mlizoahidiwa na SIZONJE zimebuma...
hakuna ujenzi unaoendelea. na wananchi mlitegemea mkae hapo miaka mitano bureeee.
kumbe ilikuwa zuga tu hakuna cha ujenzi pale ni mashimo tu yamebakia.
Humprey Killo, alisema kwa sasa wanaendelea kutoa udongo wenye rutuba ambao hauhitajiki katika ujenzi baada ya kukamilika wataanza kuchimba misingi kwa ajili ya ujenzi huo unaotarajiwa kukamilika baada ya miezi 12.