Dr Faustine Ndugulile
MP Kigamboni
- Jul 16, 2012
- 251
- 439
Ni mradi mzuri kwa Dr.Dau kustaafu nao hapo atakula kiulaini.Dr.Dau kaekeza sana kigamboni ndiyo maana hata daraja ni muhimu sana kwake kuliko
Safi sana Hon Dr..! Sisi wakazi wa Kijiji cha Kijaka pamoja na Kata nzima ya Kimbiji tunatarajia makubwa toka kwenu!!
Asante Dr.F.Ndungulile kwa majibu mazuri,hivi na KDA ndiyo imekufaa???tuendelee na ujenzi?
asante kwa majibu mazuri ,ila mimi kama mmoja wa wapiga kura wako naomba usisahau kusisitiza selikari ya Tanganyika kwenye katiba mpya .
Mtuombee sisi wajumbe wa Bunge la Katiba ili hekima, busara na maslahi mapana ya Tanzania yazingatiwe. Hiki ni kipindi muhimu na nyeti sana kwa ustawi wa Taifa letu.
Hakuna sheria inayokukataza kuendeleza eneo lako. Zuio lilikoma Oktoba 2010.
Mkuu una uhakika? ... Unaweza kutupa documents?Hakuna sheria inayokukataza kuendeleza eneo lako. Zuio lilikoma Oktoba 2010.
Ruksa kuni-PMMh.F.Ndungulile,kunajambo moja nataka kujua kutoka kwako,ila nisingependa kulianika hapa,nipe japo karuksa,niku-pm.
Ninavyojua wamiliki wa ardhi ndio wanamuuzia mwekezaji huyu. Si lazima kuuza na wala ulazimishwi. Ila nikushauri kutembelea eneo lako mara kwa mara kwani utapeli wa ardhi unazidi kuongezeka.Mh mbunge, mimi nina site yangu karibia na mradi wa iqbal sijatembelea huko muda mrefu, nilipoenda hivi karibuni nimekuta nyumba nyingi karibu na huo mradi zimepigwa chapa ya azimio nilivyoulizia nikaambiwa hizo nyumba iqbal ameshazinunua hivyo hilo eneo limekuwa la iqbal.
Swali langu: kama mimi sitaki kuuza sehemu yangu itakuwaje? je ni lazima?
naomba unisaidie kunifafanulia muheshimiwa mbunge
Mkuu una uhakika? ... Unaweza kutupa documents?
Maana nasikia KDC inakuja, na imeongezewa mpaka pemba mnazi, buyuni hata kuweka nguzo tunakatazwa.
Mtuombee sisi wajumbe wa Bunge la Katiba ili hekima, busara na maslahi mapana ya Tanzania yazingatiwe. Hiki ni kipindi muhimu na nyeti sana kwa ustawi wa Taifa letu.
Asante ndugu mbunge kwa ufafanuzi mzuri, maana walishajipanga kwa majunguWana jamvi kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo. Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kigiriki. Kazi inafanyika usiku na mchana. Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze. Karibuni wanajamvi.
Si kweli! Kwa mujibu wa Sheria ya Mipango Miji na 8 ya 2007 na tamko la Serikali, zuio la kutoendeleza eneo halitozidi miaka miwili. Tamko lilitolewa tarehe 28 Oktoba 2008. Miaka miwili iliisha Oktoba 2010.
Kigamboni Development Authority (KDA) ilishaanzishwa ila bado inasua sua. Ni kweli eneo la mradi limeongezwa hadi kata ya Pemba Mnazi ila si kweli kwamba unakatazwa kuweka Alana za mipaka kwenye eneo lako. Weka nguzo kama unataka kwenye eneo lako.
Ninavyojua wamiliki wa ardhi ndio wanamuuzia mwekezaji huyu. Si lazima kuuza na wala ulazimishwi. Ila nikushauri kutembelea eneo lako mara kwa mara kwani utapeli wa ardhi unazidi kuongezeka.
Mtuombee sisi wajumbe wa Bunge la Katiba ili hekima, busara na maslahi mapana ya Tanzania yazingatiwe. Hiki ni kipindi muhimu na nyeti sana kwa ustawi wa Taifa letu.