Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
Kwa mfumo wa kununua hapa, nyumba nzuri ni hile umeweka michoro wewe na mipango yako juu ya kiwanja ulichonunua, yani unapangilia jinsi unavyotaka, swala la kununua nyumba iliyotayari kwangu kea hili hapana.Asilimia kubwa ya Wabongo wanajenga kwa kudunduliza ni kama unajenga kwa mkopo bila riba.
Kama unachukua mkopo wa nyumba 50m unalipa 1m kila mwezi(mfano) si Sawa na mtu anaenda site kila mwezi na 1m au kila wiki na 250,000 anasogeza tofali kadhaa?!
Tena wa mkopo utakuta ulikopa 40m unarudisha 50m hivyo realistically nyumba yako itakuwa ya 30 au 40m.
Kuna msemo wa kiingereza unasema A good home must be built not bought