Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

Kwa mfumo wa kununua hapa, nyumba nzuri ni hile umeweka michoro wewe na mipango yako juu ya kiwanja ulichonunua, yani unapangilia jinsi unavyotaka, swala la kununua nyumba iliyotayari kwangu kea hili hapana.

Kuna msemo wa kiingereza unasema A good home must be built not bought
 
Huko kufeli vipi?

Usiombe uingize eti milioni 10 kwenye businesaa halafu ipoteee utapata wehu

Hayo mambo sijui nimepata uzoefu kwa kupata hasara naomba yanipite tu daah
Biashara ni nzuri ila kanuni za biashara ni lazima upoteze ndiyo upate, sasa kapesa ndiyo hako kamepatika pah then unataka kuweka yote kwenye biashara, TRA walivyo na sifa sahivi ya makusanyo ya kufikia malengo basi wafanyabiashara wanasumbuliwa na wanafuatilia, yani hiyo pesa itaenda yote kwenye mamlaka, angalau uweke kamjengo kako fullstop usipodaiwa kodi akili ya biashara inaweza kuja tu,
 
Ni ujinga kwa kweli yaani mtu uache kufanya mambo ya msingi na kutekeleza majukumu eti upoteze mamilioni halaf uendelee tu eti ili uitwe risk taker.
Ndiyo mawazo ya wakosaji, hakuna biashara unayoanza bila kupoteza, unapoteza kwanza ili upate, na kujijenga kibiashara ni process sio jambo la leo au kesho
 
Choo Cha kuchuchumaa madrsha mawil nodo na wavu,tofauli 650
 
thumb up Mkuu.
Nilijenga na kuhamia kwangu 2014!
Finishing nimemaliza January 2020
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Six years Mzee working [emoji1008] in progress... Nyumba mchezo finishing ni kiboko boss,

Hongera mkuu, ila ni raha sana ukienda mdogo mdogo kwenye finishing maana unatoa kitu sio cha kitoto,
 
Naendelea na kamsemo kangu, huwezi pata bila kupoteza ndiyo misingi ya biashara
 
Ni kweli Mkuu mimi nilichofanya ni kwamba nimejenga kwenye angle kabisa.
Hivyo eneo la kiwanja lililobaki ni kubwa hivyo nitaweza sasa kuijenga nyumba kubwa nikiwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...

Nadhani hujaipata point yangu,pale juu #1 tumesema “kadiri mtu miaka inavyosogea na majukumu ndiyo yanavyozidi kuongezeka” sasa ndo tuchukulie upo ktk hatua hiyo una watoto unalipa ada,hawajavaa hujawatunza wazazi na ajabu ya ridhiki kipato ulichokuwa ukikipata wakati huo hukipati tena then kichwani lije lakufanya ujenzi mzee utawezana?

Kwa muktadha huo,kama ungeniomba ushauri hapo nyuma kabla hujaanza ujenzi kwenye angle ya kiwanja chako ningekushauri uanze ramani ya nyumba kubwa as long as wewe ni mtafutaji ungepigana tu nyumba ingeisha,kama tayari una familia hujakosea ila wengi wanaojenga huu ujenzi wa “najenga kwanza nyumba ya kawaida kisha nitaja jenga nyumba kubwa huko mbeleni” hizi space zilizobaki kwenye viwanja vyao kama siyo kuja kuziuza basi huishia kujenga mabanda ya uwani ya kupangisha na kuanza kupishana hovyo na wapangaji majumbani mwao na hizo hazikuwa ndoto zao.
 
Ujenzi wa nyumba kubwa inabid ujipange kweli kweli..lenta tu ujiandae na 1.5M.View attachment 1503172
Hongera sana mkuu, hapo unavutia kasi unakuja awamu ya pili bati na blundering, hahahaha Lenta inachokula sana pesa ni nondo, cement na kokoto kidogo.... Hapo jiulize ghorofa huwa inakulaga nondo kiasi gani yani kujenga silabu yake sio ya kitoto,
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha mbali sana imenibidi nicheke.Nakumbuka mzee wangu alikuwa ananisimulia kuhusu wafanyakazi wenzake miaka ya zamani kabla hawajaretire walikuwa watu wa bata sana habar ya kujenga hawana time nayo.
Sasa ukiwaambia habari ya kujenga walikuwa wanajibu kwa nyodo"Wewe unajenga nyumba au unajenga police post?"Nyumba wanajenga wenye hela zao bwana.
Hiyo ni nyumba au boksi la pembe nne la tofali[emoji848]
 
Asante Sana kiongozi,.kweli kabisaa nondo kwenye lenta ndo mziki mnene..
Hongera sana mkuu, hapo unavutia kasi unakuja awamu ya pili bati na blundering, hahahaha Lenta inachokula sana pesa ni nondo, cement na kokoto kidogo.... Hapo jiulize ghorofa huwa inakulaga nondo kiasi gani yani kujenga silabu yake sio ya kitoto,
 
Bhaelezee hao motivation speakers bhaelewe.
Yaani hayo uliyoyasema ndivyo ilivyo na ndio hesabu niliziwaza kabla sasa hivi namshukuru mungu nilifanikiwa kumiliki nyumba yangu hata nikiwa nje ya nchi familia yangu hainyanyasiki nawapa tu maelekezo mkiishiwa pesa ya kula chukueni sehemu fulani halafu nikirudi tutafidia siku zinakwenda.
In short ukiwa na nyumba kutafuta hela ya kula ni very simple kama kumsukuma mlevi,hata nikiwa unemployed siku hizi siwazi nanenepa tu.
 
Hebu tuwekee floor plan nioshe macho
 
maisha yetu yanakua magum kwa kujtakia unawaza kujenga ad uweke na vyumba vya wagen cjui wakwe utadhan kila skukwako kutakua na wagen na hao wakwe smply jenga mordern house vyumba viwl vya kulala na sebule fanya finshing standard mpaka watoto wako waje kukua nakujielewa wakiume awez kulala na dada wa kaz na wakike usilale nAe chumban kwako ushasave pesa nyimg ambayo ungeilipa kama kod uko upangajin na kuiingiza kwenye hyo nyumba kubwa unayotaka tena unaijenga pole pole hata miaka 6 mpka 10 ila pa kulala unapo na s kila mgen alale kwako wengne wakalale lodge yan mtu wa kuja mara moja kwa mwaka akufanye wakat unataka kujenga unamuwaza chumba hik wakija wagen wa kiume hik wagen wa kike utazeeka ujajenga hata banda la uan
 
Kukosa mahali pako pa kuishi ni stress. Jenga nyumba kwanza then mbwembwe nyingine zifuate. Kufanya biashara wakati familia ikiwa nyumbani kwako ni raha na ni amani sana. Hata level yako ya kubeba risk inakuwa kubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…