Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua nini? Kwani hio BRT inawahudumia hao wananchi wote 4.5m wa Dar? Madaladala ndizo aina kuu za usafiri zinazotumiwa Nairobi na Dar, na wala sio hizo BRT Dar ama hizi trains za huku Nairobi. Hizo mbinu mbili zinawahudumia wananchi wachache tu kwenye baadhi za sehemu za miji hizi mbili.Mwenyewe unajua kama sivyo anzisha ubishi twende kazi
Bahati mbaya leo sipo kwaniaba ya kubishana na wakenyaNajua nini? Kwani hio BRT inawahudumia hao wananchi wote 4.5m wa Dar? Madaladala ndizo aina kuu za usafiri zinazotumiwa Nairobi na Dar, na wala sio hizo BRT Dar ama hizi trains za huku Nairobi. Hizo mbinu mbili zinawahudumia wananchi wachache tu kwenye baadhi za sehemu za miji hizi mbili.
Matatu za Kenya, ukilinganisha na za Dar ziko more efficient. Halafu pia, Nairobi ina barabrar nyingi tena kubwa kuliko za Dar. Kwa hivyo, in terms of the means of public transport, Nairobi has Dar totally beat (if not by great extent), Dar's BRT notwithstanding..
Hongera.. sisi acha tuendelea na kupiga hesabu ya flyoverTukitumbukiza na kutoa, mnafuata kwa kutumbukiza.....hehehehe!! Lakini hii ya barabara ya juu mtakawia sana maana bado mnadata kwenye flyover moja wakati sisi flyovers zipo nyingi tulishachoka nazo.
Bahati mbaya leo sipo kwaniaba ya kubishana na wakenya
nipo Majukwaa ya Watanzania
ila Kesho ntakutafuta maana huwa mnadharau sana ninyi watu,
mnadhani kila kitu kipo kwenu,
majuzi mlizua kelele Nairaland mpo juu zaidi ya Naigeria!!
Kiukweli mnaboa na kushangaza sana
Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
Uko na evidence hamna projects kama hizi kewenye hayo miji mengine? Kisumu umewahi fika? Haujui kinachoendelea Mombasa?Kwanini Highways zote za Kenya zinaanzia na kuishia Kikuyu land tu? Huko kwingine kwani siyo Kenya? Hiyo Thika inatokea Nairobi mpaka Ukikuyuni, na hii nayo itatoka Airport mpaka Nakuru kwa Wakikuyu pia, vipi watu wa Mombasa mbona wao hamuwapelekei highway, wakati ndiyo wanaobeba uchumi wa Kenya?
Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?
Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!
Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?
Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!
Bahati mbaya leo sipo kwaniaba ya kubishana na wakenya
nipo Majukwaa ya Watanzania
ila Kesho ntakutafuta maana huwa mnadharau sana ninyi watu,
mnadhani kila kitu kipo kwenu,
majuzi mlizua kelele Nairaland mpo juu zaidi ya Naigeria!!
Kiukweli mnaboa na kushangaza sana
Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?
Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!
Hujitambui weweYaani unavyojigamba humu unatumia Huawei Y520?
Uko na evidence hamna projects kama hizi kewenye hayo miji mengine? Kisumu umewahi fika? Haujui kinachoendelea Mombasa?
FYI, Nairobi ni mji mkuu wa Kenya na ni ya makabila zote za Kenya. No tribe lays claim to that city as its development had the contribution of all the Kenyan tribes. Thika Superhighway na barabara zote zilizoko Nairobi zilijengwa na pesa za walipa kodi kutoka sehemu zote za Kenya.
Nairobi, originally ilikuwa ni kwa wamasai, na Nakuru ni kwa wakalenjin, FYI.
Six-lane Mombasa-Mariakani Road to cost Ksh22 billion

Enyewe....lakini kidogo imenikera jinsi hawa huchukulia hizi miradi za kimaendeleo ziimewekwa kunufaisha eneo moja, na kabila moja tu ya Kenya. Hili suala la ukabila inasemekana imetiwa chumvi mno na vyombo vya habari Tanzania!Aisei kaka hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kujibu ujinga wa aina hiyo. Yaani Nakuru ambayo ndio kitovu cha taifa maana magari yote hata yanayokwenda Uganda na Rwanda lazima yapitie pale, magari yanayokwenda mikoa kama ya Magharibi na Nyanza yote yanapitia mji huo, sasa mtu anapokuambia haikufaa tuboreshe miundo mbinu itakayoelekeza usafiri kwenda huko anakua ana matatizo ya kiakili.
La, hili BRT jambo dogo mno. Ikiwa tulifanikiwa kujenga hizi hapa ambazo ni kubwa na ndefu zaidi ya hiyo Dar BRT na mengine chini ya miaka mitano, sasa BRT tushindwe kwa nini?Unaleta video kuji dharilisha kijana,
Miji yakisasa hawajisifu na upuzi kama huo.
Kwasasa watu wanatumia usafiri wa mpya sio kuweka mirangi vigari uchwara mnakuja kutafuta sifa.
Hizo video ulizo post Kwasasa Tanzania ni marufuku kuingia ndani ya Jiji la Dar.
Kuna UDA zinakwenda mpaka vichochoroni kuchukua watu na kuingiza njia kuu
Naanza na hii kwenu Ndoto
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapa Magari yamejipanga barabarani kama Matatu za Nairobi
Huwezi kuona daladala unazo zungumzia wewe mjini kama Kwenu
![]()