Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si umeona, Dar yaani hamna mitaa iliopangwa sawa sawa. Mitaa za aina hiyo huku Kenya tunaziita slums. Angalau Nairobi kuna mitaa nyingi sana zenye hadhi. Kwa hivyo ni kweli Dar, 90% ni slums tupu!Hehehe, what's wrong with those roofs??
Are they weird like these here??
Nairobi, the capital of Middle income country..
View attachment 380601View attachment 380602
I stand corrected, my apologies. Lakini hii ni Nairobi. Tazama mabarabara na mitaa....Hiyo picha ya kwanza sio Nairobi..
Nairobi hakuna standard road kama hiyo..
Wacha kupotosha uma
Najua nini? Kwani hio BRT inawahudumia hao wananchi wote 4.5m wa Dar? Madaladala ndizo aina kuu za usafiri zinazotumiwa Nairobi na Dar, na wala sio hizo BRT Dar ama hizi trains za huku Nairobi. Hizo mbinu mbili zinawahudumia wananchi wachache tu kwenye baadhi za sehemu za miji hizi mbili.
Matatu za Kenya, ukilinganisha na za Dar ziko more efficient. Halafu pia, Nairobi ina barabrar nyingi tena kubwa kuliko za Dar. Kwa hivyo, in terms of the means of public transport, Nairobi has Dar totally beat (if not by great extent), Dar's BRT notwithstanding..
Magari za usafiri Dar. Balaa!
In Kenya, people boarding matatus in very orderly manner

Tunazungumzia Usafiri wa Umma ndani ya jiji sio treni ya Nairobi to Mombassa wacheni ujinga
Mimi napost treni zinazo fanya safari zake ndani ya jiji pekee.
Apo miaI stand corrected, my apologies. Lakini hii ni Nairobi. Tazama mabarabara na mitaa....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nairobi nzima haina stand za usafiri wa umma
Matatu zinakaa hovyo hovyo
Hapa ni Katikazi ya jiji la Dar
Kalia koo kituo cha usafiri wa umma
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
BRT si ilijengwa hivi majuzi tu? Basi weka picha za hivi karibuni tuzione.Hayo mbna umechukua ya zaman bro
Infact dar inamaendeleo ya haraka sana kiasi kwamba miaka mi3 iliopita ni kama miaka10 kwenu
Nyingi zinazotumika ambako hamna BRT ni UDA nyekundu flan hv na magari yanayofanana na mwendo kasi ila rangi si sawa
Nairobi hakuna Treni ndani ya jiji wacha uongo
Kama treni ndani ya Jiji Dar tulisha Zoea kwasasa zaidi ya wakazi 300000 hutumia Treni kwa siku
![]()
![]()
![]()
Hizo picha nimekuwekea hapo ni za treni za jiji la Nairobi, zinafika hadi city pale Nairobi Train Station from where they offload their passengers getting into town
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Lakini magari ziko wapi? Kumbe ndio maana hizi fujo zote hutokea kwasabau ziko nadra..
![]()
![]()
![]()
![]()
Balaa, yani hata huyu mzungu ameshakuwa absorbed kwa hii culture yenyu ya kudandia matt thru the window!
![]()
![]()
Hizi fujo zote za nini?
Wewe kweli vituko
Hii ni Safari nje ya Nsirobi weka link
Pili unawezaje safiri ndani ya Jiji na mabigi!! Cheki juu ya vichwa vya watu hapo