La, hili BRT jambo dogo mno. Ikiwa tulifanikiwa kujenga hizi hapa ambazo ni kubwa na ndefu zaidi ya hiyo Dar BRT na mengine chini ya miaka mitano, sasa BRT tushindwe kwa nini?
Na mengine mengi. Dar BRT is a shadow in comparison to all that in Nairobi.
Sasa kuhusu hiki hapa......
Na nimekuuliza, je hizo BRT husafirisha watu wa ngapi kwa siku ukilinganisha na matatu? Ni watu wachache sana, ukizingatia kuwa watu takriban zaidi ya 800,000 huingia na kutoka kati kati mwa jiji hilo karibu kila siku. Na huduma zipi hawa hutegemea?
Nairobi pia kuna hili hapa
Treni hizi husafirisha maelfu ya watu kuingia na kutoka kati kati mwa mji wa Nairobi, lakini kusema kweli bado hazitoshi.
Hivyo kuwabidi maelfu ya watu kugeukia kutmia mabasi ambazo ziko nyingi na bei nafuu.
Nimesema na ninarudia, ukizingatia ya kuwa Nairobi ina barabara mengi makubwa zaidi ya Dar, inamaanisha Nairobi imeendelea zaidi ya Dar in terms of public transport.