Ujenzi wa barabara ya kupitia juu kuanza Nairobi mwakani

Some people in this forum!!!!!!! DAMN! Must they wear tribalistic glasses whenever they seen development in Kenya? Or must they pull the 'kabila fulani' card?DAMN!
 
Mwenyewe unajua kama sivyo anzisha ubishi twende kazi
Najua nini? Kwani hio BRT inawahudumia hao wananchi wote 4.5m wa Dar? Madaladala ndizo aina kuu za usafiri zinazotumiwa Nairobi na Dar, na wala sio hizo BRT Dar ama hizi trains za huku Nairobi. Hizo mbinu mbili zinawahudumia wananchi wachache tu kwenye baadhi za sehemu za miji hizi mbili.

Matatu za Kenya, ukilinganisha na za Dar ziko more efficient. Halafu pia, Nairobi ina barabrar nyingi tena kubwa kuliko za Dar. Kwa hivyo, in terms of the means of public transport, Nairobi has Dar totally beat (if not by great extent), Dar's BRT notwithstanding..

Magari za usafiri Dar. Balaa!


In Kenya, people boarding matatus in very orderly manner

 
Bahati mbaya leo sipo kwaniaba ya kubishana na wakenya
nipo Majukwaa ya Watanzania
ila Kesho ntakutafuta maana huwa mnadharau sana ninyi watu,
mnadhani kila kitu kipo kwenu,
majuzi mlizua kelele Nairaland mpo juu zaidi ya Naigeria!!
Kiukweli mnaboa na kushangaza sana

Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
 
Tukitumbukiza na kutoa, mnafuata kwa kutumbukiza.....hehehehe!! Lakini hii ya barabara ya juu mtakawia sana maana bado mnadata kwenye flyover moja wakati sisi flyovers zipo nyingi tulishachoka nazo.
Hongera.. sisi acha tuendelea na kupiga hesabu ya flyover
 

Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?

Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!
 
Uko na evidence hamna projects kama hizi kewenye hayo miji mengine? Kisumu umewahi fika? Haujui kinachoendelea Mombasa?

FYI, Nairobi ni mji mkuu wa Kenya na ni ya makabila zote za Kenya. No tribe lays claim to that city as its development had the contribution of all the Kenyan tribes. Thika Superhighway na barabara zote zilizoko Nairobi zilijengwa na pesa za walipa kodi kutoka sehemu zote za Kenya.

Nairobi, originally ilikuwa ni kwa wamasai, na Nakuru ni kwa wakalenjin, FYI.

Six-lane Mombasa-Mariakani Road to cost Ksh22 billion
 
Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?

Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!

Naona umependa tupeane vitu sawa
Wacha kupost vidala dala vya miaka ile
 
Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?

Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!

Unaleta video kuji dharilisha kijana,
Miji yakisasa hawajisifu na upuzi kama huo.
Kwasasa watu wanatumia usafiri wa mpya sio kuweka mirangi vigari uchwara mnakuja kutafuta sifa.

Hizo video ulizo post Kwasasa Tanzania ni marufuku kuingia ndani ya Jiji la Dar.

Kuna UDA zinakwenda mpaka vichochoroni kuchukua watu na kuingiza njia kuu

Naanza na hii kwenu Ndoto









Hapa Magari yamejipanga barabarani kama Matatu za Nairobi

Huwezi kuona daladala unazo zungumzia wewe mjini kama Kwenu

 

Yaani unavyojigamba humu unatumia Huawei Y520?
 
Hatujali kama tunabore. Penye ukweli sisi tutasema tu. Tunawazidi wanigeria kwa mambo mengi tu sana. Kwani uongo?

Cheki hizo mavideo hapo juu. LOL!

Pia ukumbuke yakuwa Ukiwa Dar unaweza tumia usafiri wa majini pia
Kuitembelea miji ya
Dar to Bagamoyo
Dar to Tanga
Dar to Zanzibar
Na City center to Mbagala
Itakayo anza hivi karibuni

Usafiri upo






 
Yaani unavyojigamba humu unatumia Huawei Y520?
Hujitambui wewe
Natumia Cm 3
Ktk safari zangu
Moja ni Huawei Y520
pili ni Safaricom/Vodacome(samsung Galaxy S6)
Mwisho ni Tecno p3

Nabadili kutokana na chaji
Kama vipi ngoja nijirekodi video kisha nikuwekee hapa sasa hivi uje na lingine sawa
 


Ok nilifikiri Nakuru ni kwa Wakikuyu, kumbe siyo, asante kwa Elimu!
 

Aisei kaka hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kujibu ujinga wa aina hiyo. Yaani Nakuru ambayo ndio kitovu cha taifa maana magari yote hata yanayokwenda Uganda na Rwanda lazima yapitie pale, magari yanayokwenda mikoa kama ya Magharibi na Nyanza yote yanapitia mji huo, sasa mtu anapokuambia haikufaa tuboreshe miundo mbinu itakayoelekeza usafiri kwenda huko anakua ana matatizo ya kiakili.
 
Enyewe....lakini kidogo imenikera jinsi hawa huchukulia hizi miradi za kimaendeleo ziimewekwa kunufaisha eneo moja, na kabila moja tu ya Kenya. Hili suala la ukabila inasemekana imetiwa chumvi mno na vyombo vya habari Tanzania!
 
Matatu rangi mbovu, mna barabara nzuri usafiri wa ajabu
 
La, hili BRT jambo dogo mno. Ikiwa tulifanikiwa kujenga hizi hapa ambazo ni kubwa na ndefu zaidi ya hiyo Dar BRT na mengine chini ya miaka mitano, sasa BRT tushindwe kwa nini?








Na mengine mengi. Dar BRT is a shadow in comparison to all that in Nairobi.

Sasa kuhusu hiki hapa......









Hapa Magari yamejipanga barabarani kama Matatu za Nairobi

Huwezi kuona daladala unazo zungumzia wewe mjini kama Kwenu



Na nimekuuliza, je hizo BRT husafirisha watu wa ngapi kwa siku ukilinganisha na matatu? Ni watu wachache sana, ukizingatia kuwa watu takriban zaidi ya 800,000 huingia na kutoka kati kati mwa jiji hilo karibu kila siku. Na huduma zipi hawa hutegemea?


Nairobi pia kuna hili hapa









Treni hizi husafirisha maelfu ya watu kuingia na kutoka kati kati mwa mji wa Nairobi, lakini kusema kweli bado hazitoshi.

Hivyo kuwabidi maelfu ya watu kugeukia kutmia mabasi ambazo ziko nyingi na bei nafuu.

Nimesema na ninarudia, ukizingatia ya kuwa Nairobi ina barabara mengi makubwa zaidi ya Dar, inamaanisha Nairobi imeendelea zaidi ya Dar in terms of public transport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…