Ujenzi wa barabara ya kupitia juu kuanza Nairobi mwakani

Pia ukumbuke yakuwa Ukiwa Dar unaweza tumia usafiri wa majini pia
Kuitembelea miji ya
Dar to Bagamoyo
Dar to Tanga
Dar to Zanzibar
Na City center to Mbagala
Itakayo anza hivi karibuni

Usafiri upo







Lakini Nairobi hamna bahari
 
BTW MOTOCHINI, ati hii ndio BRT unaturingia humu?





Hicho kikitu kwelio unaweza kicompare na hizi barabara za Kenya? Bwa ha ha ha ha!!!!!
 
Tazameni Dar jameni! It looks soo......


Look at all those rusty roofs, as far as the eyes can see!
 
Maneno mengi kumbe pesa znyw bdo mnazungushwa kupewA.
aya kla la kheri katka maandaliz ya ujenz.
 
Hahaha unaleta ushamba wewe
Mpaka sasa nipo ndani ya Treni ya jiji la dar usiku huu ngoja nikupe kitu live
 

Nairobi hakuna Treni ndani ya jiji wacha uongo

Kama treni ndani ya Jiji Dar tulisha Zoea kwasasa zaidi ya wakazi 300000 hutumia Treni kwa siku



 
Zinataka upost, uziwekee ramani na bado uzipe ufafanuzi zaidi... Nabado zitapinga....#bongolala
 
Hiyo picha ya kwanza sio Nairobi..
Nairobi hakuna standard road kama hiyo..
Wacha kupotosha uma
 
Tazameni Dar jameni! It looks soo......


Look at all those rusty roofs, as far as the eyes can see!
Hehehe, what's wrong with those roofs??
Are they weird like these here??

Nairobi, the capital of Middle income country..
 
^^^ kwa hivo hizo alizopost zipo mashambani? Bongolala zingine haziezi saidika.
Tunazungumzia Usafiri wa Umma ndani ya jiji sio treni ya Nairobi to Mombassa wacheni ujinga
Mimi napost treni zinazo fanya safari zake ndani ya jiji pekee.
 
Nairobi nzima haina stand za usafiri wa umma
Matatu zinakaa hovyo hovyo

Hapa ni Katikazi ya jiji la Dar
Kalia koo kituo cha usafiri wa umma







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…