Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Yanaitwa masimango ya kisirisiri
Duu we Mlozi huyu mzee si umloge tu, maana si kwa chuki hii teh.teh teh. Imefika point hadi unapoteza reputation yako humu. Mseven alimuomba Magufuli wakutane, Magufuli akakubali, akampa Mwaliko na kwa siku ya leo.
Tatizo liko wapi Mzee, unashabikia hadi vitu vya kipuuzi.
Kama vipi mloge, we si mlozi!?vinginevyo hadi 2025 utakuwa umejinyonga Mzee, maana si kwa chuki hiyo😂😂😂😂😂😂😂.
Mpare naona nawe mirija imebana umeamua kuingia front😂😂😂😂😂😂
 
Kaliumbua jiwe,hakuna MTU muongo sana duniani kama magufuli,ndio maana hatumtaki kwanza uaji na Lina sura mbaya na roho yake mbaya.
 
Museven nadhani hatokuja tena tz kichwa kichwa kaitwa ajiri ya kampeni kakutana na mambo ya bomba la mafuta hajamini alichokiona hii ndio tz
Hii safari ilikuwa danganya toto. Imeonyesha kuwa haikuwa imeandaliwa Bali wameiibua tu kwa sababu fulani. Possibly kuonyesha kuwa jamaa yetu hajachoka na kampeni na yuko mapumzikoni Chato.
 
Kwa hakika TUNDU LISSU ni jawabu la watanzania.


Baada ya kumchachafya sanaaa magufuli kwenye kampeni juu ya kuharibu mahusiano na majiran, kujenga kiwanja chato ambacho hakina faida


JAMAA WAMEHANGAIKA SANAA, NASIKIA M7 KAJA KWA MAKUBALIANO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ikitokea Lissu nae akanunuliwa huko ccm ndipo utamuona ni mjinga tu hata akiongea utaona anaongea utumbo tu,kama ambavyo tumeona kwa wengine waliyonunuliwa.
 
Kwa hoja zako hapo juu 🖕, naomba nikuulize swali moja tu:-
Kwanini mnashiriki kwenye uchaguzi ambao mnajua kabisa kuwa hamtshinda..?

Hatutashinda au uhakika wa kutangazwa na Makada wa ccm ndio haupo?
 
Kwa kazi anayofanya Rais na wasaidizi wake hakuna sababu yoyote ya kucheza faulo kwenye uchaguzi.

Ukaribu wa Rais na anaowaongoza ni kampeni tosha kabisa, Tanzania halisi ni tofauti na hizi siasa za pinga pinga za mitandaoni.

Hakuna faulo na wakati tayari kuna wagombea wengi wa upinzani wameenguliwa kwa faulo? Hivi tunavyoongea tayari idadi ya wapiga kura ni ya kupika, hapo ni faulo za wazi. Hizo ni baadhi tu ya faulo. Hiyo October hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Tanzania halisi ipi boss? Au unadhani huku mitandaoni ni nje ya nchi? Kwa taarifa yako huku mitandaoni ni platform ambayo kila mtu yuko huru kutoa maoni yake bila kuhatarisha maisha yake. Huko mitaani ukitoa maoni yako wazi wazi yaliyo kinyume na ccm, hatari ya kuhujumiwa shuguli zako za kiuchumi, kutekwa na hata kuuwawa.
 
Kagame kagoma kutumika Uhuru kagoma Burundi wamegoma na mseveni aache kuja kichwa kichwa maana nchi zingine kunyamaza Kuna maana kubwa sana.

Sasa hao waje wana shughuli gani? Museveni alikuwa na shughuli ya bomba la mafuta .....hivi nyie chadema mtaongoza nchi gani hahahahah
 
Back
Top Bottom