Duu we Mlozi huyu mzee si umloge tu, maana si kwa chuki hii teh.teh teh. Imefika point hadi unapoteza reputation yako humu. Mseven alimuomba Magufuli wakutane, Magufuli akakubali, akampa Mwaliko na kwa siku ya leo.Yanaitwa masimango ya kisirisiri
Maji gani weweeUtakufa na stress kunywa maji.
Ya baridiMaji gani wewee
lioneeYa baridi
Sawa dada!lionee
Hapa mataga hawawezi kuelewa mpaka wapewe lecture
vijana wa chadema mnajitoa fahamu kama vile si watanzaniaNi kweli, ule mradi mliosaini kuanza 2017 na kukamilika 2020 mmeuza mapipa mangapi mpaka sasa? Nasikia huu mradi wa sasa ndio mtapiga faida ya ajabu, 60% ya Ccm, na 40% ya waganda!
Hii safari ilikuwa danganya toto. Imeonyesha kuwa haikuwa imeandaliwa Bali wameiibua tu kwa sababu fulani. Possibly kuonyesha kuwa jamaa yetu hajachoka na kampeni na yuko mapumzikoni Chato.Museven nadhani hatokuja tena tz kichwa kichwa kaitwa ajiri ya kampeni kakutana na mambo ya bomba la mafuta hajamini alichokiona hii ndio tz
Vipi ulitaka akuoe?Kaliumbua jiwe,hakuna MTU muongo sana duniani kama magufuli,ndio maana hatumtaki kwanza uaji na Lina sura mbaya na roho yake mbaya.
Siku ikitokea Lissu nae akanunuliwa huko ccm ndipo utamuona ni mjinga tu hata akiongea utaona anaongea utumbo tu,kama ambavyo tumeona kwa wengine waliyonunuliwa.Kwa hakika TUNDU LISSU ni jawabu la watanzania.
Baada ya kumchachafya sanaaa magufuli kwenye kampeni juu ya kuharibu mahusiano na majiran, kujenga kiwanja chato ambacho hakina faida
JAMAA WAMEHANGAIKA SANAA, NASIKIA M7 KAJA KWA MAKUBALIANO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hoja zako hapo juu 🖕, naomba nikuulize swali moja tu:-
Kwanini mnashiriki kwenye uchaguzi ambao mnajua kabisa kuwa hamtshinda..?
vijana wa chadema mnajitoa fahamu kama vile si watanzania
We si ndio shoga yake,?hatulitaki uaji hilo,bora liteketee.Vipi ulitaka akuoe?
Kwa kazi anayofanya Rais na wasaidizi wake hakuna sababu yoyote ya kucheza faulo kwenye uchaguzi.
Ukaribu wa Rais na anaowaongoza ni kampeni tosha kabisa, Tanzania halisi ni tofauti na hizi siasa za pinga pinga za mitandaoni.
Kagame kagoma kutumika Uhuru kagoma Burundi wamegoma na mseveni aache kuja kichwa kichwa maana nchi zingine kunyamaza Kuna maana kubwa sana.