fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Hiyo ilikuwa kiki ya kupoozea joto la uchaguzi..subiri kabla uchaguzi haujaisha watakuja kufanya uzinduzi mwingine wa kuanza kuleta matrekta site.Naomba kuuliza wamesaini ili ujenzi uanze mwezi gani au mwaka gani maana bado sijaona ni mwezi gani au mwaka gani ujenzi uanze mwenye kujua anisaidie