fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Hiyo ilikuwa kiki ya kupoozea joto la uchaguzi..subiri kabla uchaguzi haujaisha watakuja kufanya uzinduzi mwingine wa kuanza kuleta matrekta site.Naomba kuuliza wamesaini ili ujenzi uanze mwezi gani au mwaka gani maana bado sijaona ni mwezi gani au mwaka gani ujenzi uanze mwenye kujua anisaidie
Unashangaa nini? Ujenzi wa SGR ulizinduliwa, lakini kila wanapotoboa mlima, wanazindua utoboaji mlima, wakifika kwenye daraja wanazindua tena, wakifika kwenye stand wanazindua tena!! Upuuzi mkubwa, watu wanafanywa wajinga!!Unazinduliwaga Kila siku tokea 2006
Wewe ni Mpuuziiiiiiiii ajira 60,000 kwa mwaka na miaka kumi 600,000! Hebu ongea na boyfriend wako kidogo akupunguze nyege la sivyo utaharibikiwa.Nakumbuka huu mradi ulizinduliwa 2016 Kwa mbwembwe sana na mikataba ikasainiwa hadharani na tukajulishwa kuwa mradi utakamilika mwezi wa nne Mwaka 2019 nashangaaa tena leo eti unazinduliwa na katika uzinduzi huo nimesikia maneno kuwa tunataka mazungumzo yafanyike mapema ili michakato ianze haraka, sijaelewa?
Au ni Lissu ndio anafanya watu warudie hadi mikataba? Huyu Lissu huyu atasababisha hadi ule mradi wa Umeme usainiwe upya haki Ya MUNGU, sijawahi ona kitu kama hiki na hii inaitwaje wakuu?
Mzeee wetu anazungumia ajira kuwa mradi utaajiri watu 13,000 anasahau kuwa Kikwete kila Mwaka Alikuwa anaajiri watu 60,000 kwa mwaka, yeye kazuia halafu anapigia upatu ajira Ya mafuta ya Uganda.
Citizen Radio imepata msemaji nchiniMkataba wa kuanza ujenzi ndo umeingiwa sasa.
Mkuu, vyote vitaendelea kuwepo ! Na kwa kweli uwekezaji wa Total hapa Tanzania utaendelea kwa kiwango kikubwa sana. TOTAL ni number one in Africa and now number one in Tanzania. Kampuni hii ya Kifaransa ina interest sana Africa, Agip waliondoka miaka mingi, Esso na Caltex kadhalika, BP vile vile lakini Total hata ukisoma web site yake ina wekeza zaidi Africa.Nashukuru kwa hii taarifa kwaio watu tulikua mis informed..kwaio COCO itaendelea kuwepo? Au DODO? Au vyote kwa pamoja maana pascal mayalla yeye ni mkereketwa wa TOTAL na alifafanua vizuri
Kisukuma na Kiganda hakuna Mradi wa Bomba la Mafuta wala la Gesi ni jaribio la mwisho la kampeni za mgombea wa CCM baada ya kuishiwa pumzi na kushindwa kupiga push-up kuonyesha bado ana nguvu. Uganda kuna Uchaguzi pia wataendelea kusaini mikataba ujao utakuwa Uganda Bomba likibaki ndoto.Hahaha Promo ya Magufuli imebuma hiyo. Bomba halipo ni uongo wa kisukuma tu huo.
Huyu aliyeahidi ajira milioni nane atakua anaajiri wangap kwa mwaka ikiwa kikwete kwa 10yrs aliajiri watu laki6.......Jaribu kuwa msomaji, mzuri mradi umepewa baraka za kuanza rasmi. Tanzania tulishamaliza yote tuliotakiwa kuyafanya upande wetu, kazi ilibaki Uganda wanabishana juu ya kodi. Waganda wameshakubaliana, leo Museveni amekuja kuleta taarifa rasmi kwamba mradi uanze.
Hao watu 60,000 wa Kikwete kila mwaka wengine ndio wale watumishi hewa na wenye vyeti feki, kama Kikwete aliajiri 60,000 kwa miaka kumi yake aliingiza watu 600,000!! Huu ni uongo.
Nakumbuka huu mradi ulizinduliwa 2016 Kwa mbwembwe sana na mikataba ikasainiwa hadharani na tukajulishwa kuwa mradi utakamilika mwezi wa nne Mwaka 2019 nashangaaa tena leo eti unazinduliwa na katika uzinduzi huo nimesikia maneno kuwa tunataka mazungumzo yafanyike mapema ili michakato ianze haraka, sijaelewa?
Au ni Lissu ndio anafanya watu warudie hadi mikataba? Huyu Lissu huyu atasababisha hadi ule mradi wa Umeme usainiwe upya haki Ya MUNGU, sijawahi ona kitu kama hiki na hii inaitwaje wakuu?
Mzeee wetu anazungumia ajira kuwa mradi utaajiri watu 13,000 anasahau kuwa Kikwete kila Mwaka Alikuwa anaajiri watu 60,000 kwa mwaka, yeye kazuia halafu anapigia upatu ajira Ya mafuta ya Uganda.
Sasa Lisu ataachaje kuuchanachana wakati yeye anategemea kula kwa vile vibeberu vyake ?Hahaha kesho Tundu Lisu akiuchanachana huo mradi wataukimbia.
Lisu ni debe tupu
Tanga walikwenda kufanya nini?Mkataba wa kuanza ujenzi ndo umeingiwa sasa.
Kwamba hilo bomba la TAZAMA halina faida yeyote kwa nchi?Bomba ka TAZAMA lipo miaka na miaka Lina peleka mafuta Zambia kuna nini mmeona toka hilo Bomba??? Hilo Bomba la Uganda ni wizi mtupu na udanganyifu kwa maskini wa fikra wa Tanzania. Wananchi amkeni hizo ni siasa uchwara. CCM tuweke hali za wananchi mbele sio huu ujinga wa bomba la mzungu. Nigeria kuna mabomba mangapi. Acheni ujinga
Leta contents za mkataba uliopitaTanga walikwenda kufanya nini
bomba ilikuwa zuga walitaka tu kujadiliana namna ya kukabiliana na Robert Amsterdam.