Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ni ujinga kufurahia mradi wa mwenzako wa mafuta, kwako umeua mradi wa gas ambao ulikuwa mkubwa zaidi ya mara 10 ya unaoufurahia.Vile vile anakwenda kum update Mheshiwa Rais wetu juu ya bomba la mafuta baada ya Rais Museveni kukutana na CEO wa Total Patrick Pouyane na kuwezeshwa kusainiwa document muhimu kwa ajili ya kufikia Final Investment Decision (FID) ya uwekezaji katika bomba hilo.
Halafu yule mgombea wa Mbowe anasema Total inaondoka Tanzania ! Aibuuu ! No research no right to speak !
Leo Mozambique ni nchi ya pili Duniani katika uwekezaji mkubwa wa gas kwa mwaka 2019/2020.
Sent using Jamii Forums mobile app