Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hata nami, huwa nashangaa!Mkuu dili la buku 7 ulilipataje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nami, huwa nashangaa!Mkuu dili la buku 7 ulilipataje?
Raisi anakabidhi madaraka pale ambapo raisi mwingine anaapishwa kasome katiba....Aisee, ina maana mtu anagombea huku anaendelea kufanya kazi kama rais?
Unavyokejeli utadhani Lissu alienda Belgium kutembea. Ndugu yangu fanya yote lakini usikufuru maana Mungu sio mwanadamuMseven sio mara ya kwanza kwenda chato
Alienda chato wakati lissu yupo kwa ndugu zake ubeligiji
Hiyo ni taadhari asiambukize kama anayo ... . .Naona Museven haamini kuwa chato hakuna Corona, kajiweka mbali asipate Covid-19
Tulieni dawa iwaingie😂😂, tuliwaambia jamaa ameacha kampeni zake ili ashughulikie majukumu yake, mkawa wabishi mara mseme anaumwa, Mara kakata upepo, mara kachoka 😂😂.M7 dictator mzoefu amekuja kufanya nini? Kuna nini?
Acheni ujinga Hakuna hifadhi inaitwa burigi chato, labda useme burigi-biharamuloRais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake
Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana
Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali
Kesho CHUMAAAA kitakuwa Mkoa Kagera kuzoa kura za kutosha. Huyo ndiyo rais wenu anayesubiri kuapishwa.Tundu Lissu atakuwa amerudi kwao ubeligijiTulieni dawa iwaingie😂😂, tuliwaambia jamaa ameacha kampeni zake ili ashughulikie majukumu yake, mkawa wabishi mara mseme anaumwa, Mara kakata upepo, mara kachoka 😂😂.
Akimaliza kufanya kikao chake na huyo mnaemuita dictator mzoefu, atarudi Tena barabarani..!
Jiwe is a Dying horse!Tulieni dawa iwaingie😂😂, tuliwaambia jamaa ameacha kampeni zake ili ashughulikie majukumu yake, mkawa wabishi mara mseme anaumwa, Mara kakata upepo, mara kachoka 😂😂.
Akimaliza kufanya kikao chake na huyo mnaemuita dictator mzoefu, atarudi Tena barabarani..!
Kwa hiyo, hicho kikao wanafanyia kwenye hifadhi ya Burigi-Chato?
Mseveni na kagama wasiri wa magu, huenda kaja kumpa update ya uwekezaji wa magu, huko Uganda baada ya kupata mgao wa %10 ya mradi wa sgrVile vile anakwenda kum update Mheshiwa Rais wetu juu ya bomba la mafuta baada ya Rais Museveni kukutana na CEO wa Total Patrick Pouyane na kuwezeshwa kusainiwa document muhimu kwa ajili ya kufikia Final Investment Decision (FID) ya uwekezaji katika bomba hilo.
Halafu yule mgombea wa Mbowe anasema Total inaondoka Tanzania ! Aibuuu ! No research no right to speak !
Kwa hakika TUNDU LISSU ni jawabu la watanzania.
Baada ya kumchachafya sanaaa magufuli kwenye kampeni juu ya kuharibu mahusiano na majiran, kujenga kiwanja chato ambacho hakina faida
JAMAA WAMEHANGAIKA SANAA, NASIKIA M7 KAJA KWA MAKUBALIANO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa kamuita ampe ushauri maana Lissu kampeleka. Hadi kaomba pooM7 dictator mzoefu amekuja kufanya nini? Kuna nini?
We myonge utanufaikaje?Kazi ya rais haikomi hadi mwingine aapishwe nenda kasome katiba kabla ya kuja kulalamika. Ukasuku pelekeni kwenye chama cha ukoo kule uchagani.
$12.77 kwa kupitisha kila pipa la mafuta kwa kuanzia mapipa 1047 then up to 200,000 later ... .... .. patamu hapo ..... Ding ....Dong.
Rais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake
Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana
Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali