Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Aisee, ina maana mtu anagombea huku anaendelea kufanya kazi kama rais?
Raisi anakabidhi madaraka pale ambapo raisi mwingine anaapishwa kasome katiba....
umesahau JK alikuwa anateua wakuu wa wilaya wakati yamebaki masaa kadhaa akabidhi nchi
 
Naona Museven haamini kuwa chato hakuna Corona, kajiweka mbali asipate Covid-19
 
Mseven sio mara ya kwanza kwenda chato

Alienda chato wakati lissu yupo kwa ndugu zake ubeligiji
Unavyokejeli utadhani Lissu alienda Belgium kutembea. Ndugu yangu fanya yote lakini usikufuru maana Mungu sio mwanadamu
 
Maji yamezidi unga amekodi wasanii hola,amemleta mchekeshaji mkenya hola,sasa kamleta dikteta mwenzake hapa napo ataangukia pua tu.
 
M7 dictator mzoefu amekuja kufanya nini? Kuna nini?
Tulieni dawa iwaingieπŸ˜‚πŸ˜‚, tuliwaambia jamaa ameacha kampeni zake ili ashughulikie majukumu yake, mkawa wabishi mara mseme anaumwa, Mara kakata upepo, mara kachoka πŸ˜‚πŸ˜‚.
Akimaliza kufanya kikao chake na huyo mnaemuita dictator mzoefu, atarudi Tena barabarani..!
 
Rais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake

Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana

Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali
Acheni ujinga Hakuna hifadhi inaitwa burigi chato, labda useme burigi-biharamulo
 
Kesho CHUMAAAA kitakuwa Mkoa Kagera kuzoa kura za kutosha. Huyo ndiyo rais wenu anayesubiri kuapishwa.Tundu Lissu atakuwa amerudi kwao ubeligiji
 
Jiwe is a Dying horse!
 
Mseveni na kagama wasiri wa magu, huenda kaja kumpa update ya uwekezaji wa magu, huko Uganda baada ya kupata mgao wa %10 ya mradi wa sgr
 
Ubwato Chato
Changamoto
Chattel Ndiyo California Yetu
 

Kujidanganya nafsi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaweza kua ndio safari yake ya mwisho....aagane na mwenzie kabisa. Lissu baba wa demokrasia anaingia na yake...sio mtu cheap hivyo
 
We myonge utanufaikaje?
 
Rais Magufuli anaitangaza hifadhi ya burigi -chato kwa aina yake

Miaka michache ijayo hii hifadhi itakuwa inaingiza fedha nyingi sana

Asante sana Rais Magufuli kwa kuona mbali

Kwahiyo hao matapeli wa Uganda ndio watakuja kutalii huko burigi? Utapeli mwingine ni balaa.

Nakumbuka kulikuwa na utapeli mwingine ulifanyika huko Chongeleani Tanga kuhusu uzinduzi wa hilo bomba la mafuta, mpaka Ruge RIP wakapatanishwa na Makonda. Utapeli wa wakati ule ilikuwa hiyo pipeline itakuwa tayari hii 2020. Siku ile wakajazana viongozi wasio na tija yoyote kwenye ule mkataba, wakila imprest ya hela za wanyonge mafala. Sasa hivi ccm wako kwenye kampeni wamejazana huko Chato, na kundi lile lile la viongozi matapeli wakijifanya wanaingia mkataba wa bomba hilo hilo la mafuta, wamesahau kuwa walishafanya uzinduzi wa kitapeli wa bomba hilo hilo huko nyuma!

Kama mwanzo hilo bomba lilizinduliwa na tukaambiwa 2020 litakuwa tayari, kulikuwa na haja gani kwenye utapeli huu mwingine kujaza manguo ya ccm kurudia utapeli huo huo tena? Hilo kundi la viongozi wameenda kufanya nini kama sio kula hela za wajinga kwa kurudia utapeli ule ule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…