Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madini ya kwetu yako ardhi yetu mafuta Sio yetu Ni ya waganda deal liko fair Sana tuMahesabu ya kibiashara huwa yananiwacha pembeni, Fikiria kampuni ya Twiga kwenye madini. Tanzania ina hisa 16% lakini faida tunagawana 50/50 na wenye hisa 84%😃😃
Unajua gharama za matunzo ya hilo bomba na umeme wa kuchemshia hayo mafuta? Kwanini a give up hiyo 20 percentHayo mafuta moja Sio yetu pili wanaingia gharama za kuchimba na kiwanda sisi kote huko hatupo
Deal liko fair
Kwa hiyo hayo mafuta yanachimbwa kwenye ardhi Tanzania? Leo mnakubali kuwa hiyo inawezekana na Mnafuta zile kelele za 50/50 haiwezekani John ni muongo? Mgao wa mapato ktk Biashara na uwekezaji haiendeshwi kwa amri za Bunge bali kwa makubaliano ya kimkataba.Madini ya kwetu yako ardhi yetu mafuta Sio yetu Ni ya waganda deal liko fair Sana tu
NdioJamaa bado wanavaa barakoa hadi leo? Ama wanadhani Tanzania tuna corona.?
Haiwezi kutokeaYeye achape tuuu..ila aangalie asije akachapika october28
Rais Museveni ametembelea tanzania Kikazi
Rais Magufuli: Km 330 za bomba hili zipo Uganda. Kwa Tanzania, bomba litapita kwenye mikoa 8, wilaya 24 na kata 132. Tathmini kwa Tanzania, watu zaidi ya 90,000 watalipwa fidia; ni takribani bilioni 21
Huu mradi wa bomba unazinduliwa kila baada ya miezi mitatu kiasi kwamba tumechoka kuusikia. Kwani lazima uzinduliwe kila mara? Kuna shida gani?Nakumbuka huu mradi ulizinduliwa 2016 Kwa mbwembwe sana na mikataba ikasainiwa hadharani na tukajulishwa kuwa mradi utakamilika mwezi wa nne Mwaka 2019 nashangaaa tena leo eti unazinduliwa na katika uzinduzi huo nimesikia maneno kuwa tunataka mazungumzo yafanyike mapema ili michakato ianze haraka, sijaelewa?
Au ni Lissu ndio anafanya watu warudie hadi mikataba? Huyu Lissu huyu atasababisha hadi ule mradi wa Umeme usainiwe upya haki Ya MUNGU, sijawahi ona kitu kama hiki na hii inaitwaje wakuu?
Mzeee wetu anazungumia ajira kuwa mradi utaajiri watu 13,000 anasahau kuwa Kikwete kila Mwaka Alikuwa anaajiri watu 60,000 kwa mwaka, yeye kazuia halafu anapigia upatu ajira Ya mafuta ya Uganda.
Mlishajibu hoja za CAG kuhusu pesa ya Ruzuku Hapo ufipa?Huu mradi wa bomba unazinduliwa kila baada ya miezi mitatu kiasi kwamba tumechoka kuusikia. Kwani lazima uzinduliwe kila mara? Kuna shida gani?
Uwezo wa akiliUwezo wa nini hebu fafanua.