Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #41
Kabisa. Halafu CCM bhana yan wanajua sana ile amsha amsha. Hivi ninavyoongea na wewe ni kuwa mzee bado hajafika ila lile mwewe kubwa la kijani ndio linavinjari kwenye anga la korogwe kuleta hamasa. Uwanja wa TTC Korogwe umependeza sana. Tulifika pale tukajitolea kufyeka na kufanya usafi. CCM ni chama cha watu achana na Mshana Jr ambaye anaota ndoto za mchana kweupe mbuzi anakula majaniDaaaah. Mitano tena wallahi
Kuna wale wanachukua kodi halafu wanaenda kujiwekea kwenye akaunti zao huko uswiswi, Thailand na kwingineko ulimwenguni.kama serikali inachukua kodi ni wajibu wake kujenga miundombinu, kura yangu kwa TL!.
MkuuWee msambaa mshamba halafu mpumbavu sana...kwani hizo pesa anatoa mfukoni mwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu inashangaza sana kwani wewe utakuwa mmoja wapo wa watakaolitumia sana daraja hilo kwenda Hedaru, Same,Gonja Maore, Kisiwani, Mwanga, Ugweno n kWee msambaa mshamba halafu mpumbavu sana...kwani hizo pesa anatoa mfukoni mwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya serikali ni kujenga miondombinuMgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.
#2020 kura zote kwa John
Amani
Ni hasira tuu za mdudu ambazo hazizuii mvua kunyesha. Hebu ngoja kidogo, mtaelewa tuuMkuu
Itachukua miaka mingi sana ili wajinga wapungue.
Ndioooooooo! kujenga miundombinu pamoja na kazi nyingine Kama kutoa huduma za afya, maji, elimu, Umeme n.kKazi ya serikali ni kujenga miondombinu
mzee kwani unakufa leo....maendeleo hayana timeframe..kama sio wewe wanao wataenjoyHongera kwa serikali. Japo wamechelewa sana. Mpaka ajali zitokee ndio waje kujenga?
Kwann wasingejenga before walipoona daraja linazidiwa?
ZoooooteKura zote kwa JPM.
Maneno kuntu hayoLikikamilika litakuwa msaada kwa kweli.
Mbona Daraja ni lilelileSerikali inafanya kazi yake tuliowachagua kwayo. Kuichagua tena ni utashi wetu haihusiani na hizi kazi wanazofanya
hapa tulipofikia mzee/...wala hamna aja hii miundo mbinu ikianza funguka itajikuta biashara zinakuja tu aiseeHuyu mzee sijui mtampinga kwanini? Siku akianza kugawa zile 50M kila kijiji sindio mtalegea kabisa πππ
Maana kimsingi ni hela ndogo sana ikigawiwa kwa awamu awamu.
We unaishi wapi? Anyway, muulize Mshana Jr au hata Lissu watakupa habari kamili maana wanayo na inawatesa sanaMbona Daraja ni lilelile
Sio suala la kufa sababu ni unpredictable situation.mzee kwani unakufa leo....maendeleo hayana timeframe..kama sio wewe wanao wataenjoy
Sorry nimeipongeza serikali. Na si CCM.Hongera sana JPM na serikali yake. Hongera CCM