Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Napongeza juhudi za Serikali juu ya huu Ujenzi wa hili Daraja jipya japo nashangaa hadi kusikitika ni kwanini limechelewa sana Kukamilika hadi leo!
Shukrani kwa pongezi. Hiyo n kazi nzuri ya JPM. Chagua Magufuli kwa mambo makubwa zaidi
 
Nyomi za Lissu, walipigwa ganzi.

Hawakuamiini walivurugikiwa, wanashtuka kumepambazuka, ndiyo wanaandaa timu ya kampeni.

Slowslow zile press zake za kijinga sana.
Alimdanganya mwenyekiti.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Shukrani kwa pongezi. Hiyo n kazi nzuri ya JPM. Chagua Magufuli kwa mambo makubwa zaidi
Kabla hata ya 'Kampeni' kuanza tayari Rais Dkt. Magufuli ana uhakika wa 100% wa 'Kura' yangu Mimi GENTAMYCINE na aondoe tu Shaka kwa hilo.
 
hapa tulipofikia mzee/...wala hamna aja hii miundo mbinu ikianza funguka itajikuta biashara zinakuja tu aisee
Kwa wastani mkoa wenye vijiji vingi hauzidi vijiji 150. Ukizidisha kila mkoa ku cover vijiji vyote ni roughly 7.5B or less! Kwa pesa inayoendaga kwenye miradi mikubwa ni 10 or more times hii figure ni wazi hela ni ndogo wala haitahenyesha serikali.

Akiweka goal kila mwaka agawe mikoa 12 mpaka kufikia mwaka wa 3 tu atakuwa kaimaliza mikoa yote. Na ni pesa ambayo inatakiwa ikazungushwe irudi kama ilivyo maana ni kama mikopo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…