Hapo ulipo ukute huna hata TIN number,na TRA haujulikani.Ikitokea unajulikana basi huenda kodi yako ya mwaka mzima isitoshe hata kununua mifuko kumi ya cement, ila unavyopiga kelele Sasaπ€£π€£π€£.Hivi si ni kodi zetu Eehh?
Wewe hausafiri, wala kufanya biashara zenye kuhitaji miundombinu imara ndio maana hauwezi kuelewa umuhimu wa hilo daraja.Subiria uletewe hela huko Ileje.Hilo daraja la wami linatusaidia vipi sisi watu wa Ileje?
Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.
#2020 kura zote kwa John
Amani
'Mladi'Watu ndio wamefufuka kukumbuka miradi.
Maono ya bwana shetaniWaziri wa ujenzi wa TL ata lifungua ili daraja[emoji2960]mataga watapinga
Tuko pamojaKabla hata ya 'Kampeni' kuanza tayari Rais Dkt. Magufuli ana uhakika wa 100% wa 'Kura' yangu Mimi GENTAMYCINE na aondoe tu Shaka kwa hilo.
Huyo ni Rais wa mazezeta.Tundu Lissu [emoji3581]
TL kwa lipi hasa alichofanya?
Wewe hausafiri, wala kufanya biashara zenye kuhitaji miundombinu imara ndio maana hauwezi kuelewa umuhimu wa hilo daraja.Subiria uletewe hela huko Ileje.
kazi kazi tuMgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.
#2020 kura zote kwa John
Amani
πππMembe; Tanzania haina hela
Kazi kazikazi kazi tu
Hii ni hisani au ni wajibu wa Serikali ? Hata kama sio yeye ni lazima lingejengwa tu.Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia itapunguza muda wa safari.
#2020 kura zote kwa John
Amani