Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

Hivi hili daraja kwann lisiitwe busisi bridge!?kwann tumekuwa wajinga hivi!?kiongozi atakuja na atapita( kufa); Kila kitu ni jina la kiongozi why!?? Kwann Nyerere hakufanya hivyo!?
Kwanini wewe hukuitwa jina la ukoo wa jirani yako ukaitwa jina la baba yako aliekulea na kukusomesha?

Katika huo ujinga wenu mm simo. Wajinga ni nyinyi
 
Hayo madude meupe pembeni ni ya nini?



Extrovert FRANCIS DA DON raraa reree
 
Siku hizi kuna sekondari mpaka zinaitwa Doto Biteko, Paul Makonda, Anthony Mtaka.... Du kazi kweli
 
Naona Magugu maji yameanza kuongezeka tena ziwa Victoria. Hii inaashiria uwepo wa uchavuzi wa mazingira kwa kujisaidia hovyo vichakani na ziwani. Maafisa Afya fanyeni kazi yenu ipasavyo, kagueni vyoo na utupaji wa takataka maeneo hayo......
Huo ukanda huwa kuna magugu maji mengi sana,kuna wakati hadi yalikuwa yanasababisha hadi ferry zinasimama kwa muda ili wayaondoe
 
Hayo madude meupe ndio ‘Concrete footing’ ya daraja lenyewe, hicho kidaraja cha chuma pembeni ni cha muda tu (temporary) kwa ajili ya kuvusha materials, equipment na mafundi
Asante mkuu kwa maelezo mazuri sikufaham kabisa. Lakini mbona wanasema asilimia 72 tayari. Lakini navyoona ni asilimia 30.

Kwa hiyo wakimaliza wata dismantle iyo barabara ama itabaki kwa waenda kwa miguu?
 
Asante mkuu kwa maelezo mazuri sikufaham kabisa. Lakini mbona wanasema asilimia 72 tayari. Lakini navyoona ni asilimia 30.

Kwa hiyo wakimaliza wata dismantle iyo barabara ama itabaki kwa waenda kwa miguu?
Hiyo inafumuliwa, itaenda kutumika kwingine. Kuhusu asilimia 72 inawezekana, maana hapo inawezekana wanafaya precast ya super structure kiwandani, beams zikija zinatandikwa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…