Technicaly kwa knowledge niliyonayo, option ya kuweka nguzo(columns) is the best kuliko ya kulaza tofali. Kwani kwa kusimamisha nguzo jengo linakuwa stable kistructure kuliko ukilaza tofali.
So ningekushauri uchague option ya nguzo.
Watu wengine bana,Mkuu mi sio eng ni architect...ninachoshangaa umeongea na fundi kabla hujaongea na architect.....ninachojua mimi architect ndiye mtu muhimu kumpa hayo mawazo ili anapodesign afikilie hilo....sasa ukiongea na fundi afu mchoro ukawa haujazingatia hizo option zako inakuwa...kwa msaa wa bure piga 0656509838 nitakushauri kuhusu ujenzi ukipenda tunaweza kufanya kazi yako pia
mkuu tatizo letu sisi watz tunafuata mkumbo tu yaani wote tukiona magorofa yanajegwa kwa nguzo za nondo nzito tunafuata hivyo hivyo ukienda vijijini utakuta kuna gorofa nzuri tu watu wanajenga kwa matofali ya kuchoma kwa mtiririko ufuatao msingi imara wa mawe na saa nyingine kwa mortar ya udongo mwekundu halafu ground flow ya matofali ya kuchoma yanayowekwa mawili mawili na flow ya juu ya tofali moja na sakafu ya mbao kutenganisha, hizo nyumba nyingine zina zaidi ya miaka 100 na ni imara tu
mkuu umenifaa sana kwa ushauri wako huu, manake hapo pekundu pananiumizaga sana kichwa nikifikiriaga kujenga kighorofa cha kuishi. Kama una ushauri zaidi wa jinsi ya kupunguza gharama za ground floor mwaga tunufaike zaidi mkuu
Mkuu mito,
Anza mdogomdogo tu mpaka utafika. If you can do it once then you can do it again. Kama unaweza kujenga ya chini then unaweza kujenga ghorofa, tofauti itakuwa muda wa kumaliza tu...
aaaha umenishauri kinadharia zaidi mkuu, yaani gharama za kujenga nyumba ya chini utalinganisha na za ghorofa mkuu, loh!
Mkuu mito,
Anza mdogomdogo tu mpaka utafika. If you can do it once then you can do it again. Kama unaweza kujenga ya chini then unaweza kujenga ghorofa, tofauti itakuwa muda wa kumaliza tu...