Ujenzi wa Ghorofa Moja

Ujenzi wa Ghorofa Moja

Huku ni kudanganyana kwamba waweza kulaza tofari ukajenga nyumba ya gorofa moja bila nguzo wala nondo
Mkuu uliyeomba ushauri usijaribu kitu kama hicho dunia imebadilika mabadiliko ya tabia nchi na majanga ya asili vimezidi.
Tumia nguzo imara kwa nyumba imara.
Na hivi nikiweka nguzo imara kwa vile vyumba tu ambavyo juu yake vitabeba vyumba vingine (Sio Full gorofa), kuna haja ya kuimarisha msingi nao? Nikiweka wa kawaida tu itakuaje??
 
Watu wengine bana,
Mtoa Mada anajua pia kuna Engineer na Architect but ameleta hapa labda na kwa faida ya wengine, wewe unatoa namba ili mpelekane chemba, sio poa mkuu.

Wewe kama una ushauri mwaga hapa nasi wengine tufaidike!
kweli bro
 
Back
Top Bottom