Ujenzi wa Ghorofa Moja

Ujenzi wa Ghorofa Moja

Nawashukuru watalamu hapa. Huwa natamani sana nyumba ya ghorofa, lau moja tu. LKakini watu wanatisha sana kuwa ni gharama kubwa sana. Sasa nafikiria kiutafuta angalau 20ml ya kuanzia.
 
1....nilojenga nimetumia nguzo faida ni kama alivyoeleza Robert Josephat
2. Material unazotumia hakikisha viwango vyote vya uchanganyaji wa zege havikiukwi vinginevyo litaporomoka
3. hakikisha linakaguliwa mwanzo-mwisho
4. Aina na size za nondo na ukubwa wa beam/colum/nguzo
5....etc
 
Nimevutiwa na hii mada sana, napenda nyumba ya ghorofa tatizo mifuko imechakaa.
 
1....nilojenga nimetumia nguzo faida ni kama alivyoeleza Robert Josephat
2. Material unazotumia hakikisha viwango vyote vya uchanganyaji wa zege havikiukwi vinginevyo litaporomoka
3. hakikisha linakaguliwa mwanzo-mwisho
4. Aina na size za nondo na ukubwa wa beam/colum/nguzo
5....etc
Sasa, suala la supervision likoje hapa? I mean, ukishaweka mafundi na wameanza ujenzi, unasimamiaje kuhakikisha kuwa kila kitu kimeenda sawa sawa linapokuja suala la uchanganyaji?
 
Nashukuru wote kwa ushauri ujenzi unaendelea vizuri. Ndio nafanya maandalizi ya kumimina slab ya first floor,watu wasiogope wajaribu gharama zipo lkn sio za kuogopesha sana,kwa nyumba ya square meter 180 msingi uandae 20,matofali pia ukiweza tumia ratio ya 25/ mfuko
 
mkuu umenifaa sana kwa ushauri wako huu, manake hapo pekundu pananiumizaga sana kichwa nikifikiriaga kujenga kighorofa cha kuishi. Kama una ushauri zaidi wa jinsi ya kupunguza gharama za ground floor mwaga tunufaike zaidi mkuu

Salute! !!!!!in between lines humbly and diligently
 
Vipi kuhusu ujenzi wa ghorofa moja kwa kutumia tofali za kuchoma hasa mkoa wa Morogoro?ushauri wenu wakuu

inawezekana bro,hata iringa kuna magorofa ya matofali ya kuchoma mazuri sana,dah,wenzetu mna mihela,tupeni michongo na sie basi,nyie mnawaza kujenga migorofa,mi sijui kesho nitakula nini,kila la kheri mukulu
 
Nashukuru wote kwa ushauri ujenzi unaendelea vizuri. Ndio nafanya maandalizi ya kumimina slab ya first floor,watu wasiogope wajaribu gharama zipo lkn sio za kuogopesha sana,kwa nyumba ya square meter 180 msingi uandae 20,matofali pia ukiweza tumia ratio ya 25/ mfuko

safi sana mkuu, napenda kujifunza practical stages za ujenzi wa ghorofa

vipi umeamua kutumia nguzo au kulaza matofali?

hivi unaweza kumimina slab ya first floor bila kumalizia ground floor kwanza? hapa nina maana first floor itakuwa imebebwa na nguzo tu so inategemea uimara wa hizo nguzo
 
mkuu umewahi kufika zenji? Jee unayajua maghorofa ya michenzani? yale majengo yana ghorofa tano, yamejengwa zaidi ya miaka 40 iliyopita na hayakutumia hata nguzo moja. yote yamejengwa kwa kulaza tofa, pia kuna jengo jengine liko mtendeni lina ghorofa nne nalo pia halikutumia nguzo bali tofali tu zimelazwa. hivyo kwa kagorofa kamoja we laza tu tofali

Mkuu ghorofa lako umejenga wapi? Kwa kadirio sq meter 64 za slab ya juu kuweka master na balcony ya kupumzika inaweza ikacost appx m. ngapi?
 
Nashukuru wote kwa ushauri ujenzi unaendelea vizuri. Ndio nafanya maandalizi ya kumimina slab ya first floor,watu wasiogope wajaribu gharama zipo lkn sio za kuogopesha sana,kwa nyumba ya square meter 180 msingi uandae 20,matofali pia ukiweza tumia ratio ya 25/ mfuko

Mkuu kwa kuwa ushaanza ujenzi nilitarajia utatoa details za kutosha sasa unavyotaja sq m 180 msingi tuandae 20m how ebu weka mchakato wake,pia kwa slab unayoweka ni sq meter ngapi na cost yake sh ngapi? Umelaza au umesimamisha column?
 
Nina experience na option ya kulaza matofali.
I have no complain about it. Ila kuna vitu inabidi uvifahamu:
1. Hutaweza kubadilisha plan ya nyumba baadae kwa sababu kuta ndizo zilizobeba jengo. Kama huna mpango wa kubadili matumizi ya jengo that factor may be immaterial.
2. Hata unapolaza matofali ni LAZIMA utahitaji nguzo kadhaa, kwahiyo matumizi ya nguzo hayahepukiki kwa asilimia 100.

Advantage kubwa ya kulaza matofali ni kwamba starting costs zinakuwa sio kubwa. Nguzo za kubeba jengo gharama yake parefu. So kwa anayeamua kujenga hatua kwa hatua inaweza kuwa kipingamizi.

Mkuu ghorofa lako umejenga wapi? Kwa kadirio sq meter 64 za slab ya juu kuweka master na balcony ya kupumzika inaweza ikacost appx m. ngapi?
 
Mkuu ghorofa lako umejenga wapi? Kwa kadirio sq meter 64 za slab ya juu kuweka master na balcony ya kupumzika inaweza ikacost appx m. ngapi?

Kiongozi,

Mimi niko Dar es Salaam, Kibada.

Hapo kwa mahesabu ya harakaharaka unahitaji:

Mirunda 120
Marine boards 27
Cement mifuko 65
Mchanga lori 7ton trip 2
Kokoto lori 7ton trip 3
Nondo mm12 pcs180
Nondo mm8 pcs 40
Nondo mm16 pcs 36
Mbao 2X6 pcs pcs 40
Mbao 2X2 pcs 15
Mbao 2X4 pcs 10
Ufundi - maelewano ( kusuka nondo sh. laki 2. kupiga mbao laki 2, fundi laki 2, kumwaga zege laki 2 jumla laki 8)
Jumlisha na vikorokocho vingine kama misumari etc ambavyo bei yake sio deciding factor.

Kadirio la kati jumla ni sh. mil. 8.

Gharama hii inaweza kupungua kwa kiasi kikubwa iwapo vitatumika vifaa vya kukodi au used.
 
Kwenye sekta ya ujenzi ,Haas ghorofa mkuu nakuaminiaga sana kwa kweli. Umatusaidia sana, na labda ndio anga zako hizi za kujidai.

Tatizo lipo ukihamia tu lile jukwaa pale juu unabadilika kabisa
 
Kule kwingine utani mwingi. Tatizo kuna watu hawana sense of humor ndio maana kila kitu wanachukulia serious. Mambo sensitive kama udini etc. huwezi kukuta comment yangu.

In short, kila kitu na mahali pake...
 
Kiongozi,

Mimi niko Dar es Salaam, Kibada.

Hapo kwa mahesabu ya harakaharaka unahitaji:

Mirunda 120
Marine boards 27
Cement mifuko 65
Mchanga lori 7ton trip 2
Kokoto lori 7ton trip 3
Nondo mm12 pcs180
Nondo mm8 pcs 40
Nondo mm16 pcs 36
Mbao 2X6 pcs pcs 40
Mbao 2X2 pcs 15
Mbao 2X4 pcs 10
Ufundi - maelewano ( kusuka nondo sh. laki 2. kupiga mbao laki 2, fundi laki 2, kumwaga zege laki 2 jumla laki 8)
Jumlisha na vikorokocho vingine kama misumari etc ambavyo bei yake sio deciding factor.

Kadirio la kati jumla ni sh. mil. 8.

Gharama hii inaweza kupungua kwa kiasi kikubwa iwapo vitatumika vifaa vya kukodi au used.

Zemacopolo hili gorofa lina ukubwa gani?

Linapokuja swala la slab kusema kwelie size matters yaani kama unataka mambo ya sqrm 180 basi andaa mfuko wa kutosha kwani kushona mkeka wa jamvi pale panalika sana nondo za 12mm na hazikimbiliki zitalika tuu. Mimi nimejenga 144sqrm na hapo zimelika nondo za kutosha.

Nimesema hapo awali kama una forecast ya cash ya kama 20 million per phase basi gorofa unaweza kujenga. Maana msingi wa gorofa utakula kuanzia 20 million kisha kujenga mpaka kwenye slab haifiki hata 8 million, then slab at least 25 million then unapandisha kwa at least 8 million then kufunika add another 15 million. hapo kama 70 million inakuwa imesimama. Baada ya hapo tukutane kwenye finishing.

Ukijipanga unaweza kaka. Nimimi nimethubut na nasema yoyote anaweza akijipanga.
 
Thanx a lot mkubwa ngoja nizidi kuzichanga nipate pa kula upepo juu.
 
Kiongozi, hizo estimations sio za ghorofa ni za chumba cha master tu. Mdau alisema anataka kuweka masters bedroom juu ndio nikampa hayo makadirio...
 
Zemacopolo hili gorofa lina ukubwa gani?

Linapokuja swala la slab kusema kwelie size matters yaani kama unataka mambo ya sqrm 180 basi andaa mfuko wa kutosha kwani kushona mkeka wa jamvi pale panalika sana nondo za 12mm na hazikimbiliki zitalika tuu. Mimi nimejenga 144sqrm na hapo zimelika nondo za kutosha.

Nimesema hapo awali kama una forecast ya cash ya kama 20 million per phase basi gorofa unaweza kujenga. Maana msingi wa gorofa utakula kuanzia 20 million kisha kujenga mpaka kwenye slab haifiki hata 8 million, then slab at least 25 million then unapandisha kwa at least 8 million then kufunika add another 15 million. hapo kama 70 million inakuwa imesimama. Baada ya hapo tukutane kwenye finishing.

Ukijipanga unaweza kaka. Nimimi nimethubut na nasema yoyote anaweza akijipanga.

mkuu mtanganyika nakumbuka kuna post ulisema ulifuata mirunda shamba vipi waweza tuambia bei ya shamba na usafiri na ni wapi.twataka kupima unafuu tuu. .
 
Back
Top Bottom