Ujenzi wa Ghorofa Moja

Vipi kuhusu ujenzi wa ghorofa moja kwa kutumia tofali za kuchoma hasa mkoa wa Morogoro?ushauri wenu wakuu

mkuu hii ni mpaka nguzo za zege huwezi kujenga bila nguzo
 

umenitia moyo sana mkuu hapo kwa red
 

Wewe ni architect lakini hujui spelling za neno TOFALI!!!
 
Hamna ki2 kama icho katika elimu ya uhandisi floor 1 kubebwa na tofali za kulala kinachofanyika ni kuangalia span almost less than 3m ndo angalau inaweza bebwa na tofali za kulala, na pia ki2 kingne ni imposed load(yaani mzigo)unaotegemewa kuwekwa na mtumiaji. In short usipende kumsikiliza fundi pasipo kupata technical detail kutoka kwa wataalamu (wahandisi) wa ujenz ki2 fundi anachokifanya ni ujenzi wa mazoea na si kitalaamu for more detail
Contact me.0659497070
 
Acha uongo kama huo na kama wewe ni engineer na kudisqualify hustail kuitwa mwandisi bali ni fundi wa darasa la saba. Na kama wewe ni archtect endelea kudesign hayo maboksi yako usipende kuingilia issu za uhandisi kwan kazi yako ni kusimamia frame work ya mchoro wako including vipimo,material quality na si kufanya kazi za structural,electrical or mechanical engineering
over mwenye uelewa na aelewe ivyo na asiye elewa anitafute ntamwelekeza zaidi ovaaa
 
Hello wakuu, kuna rafiki yangu ameezua slab yake ya ghorofa, kwa hiyo ana mirunda 500 na kila mmoja anauza 1300, marin boards 18mm 35 @ 30000 na mbao 4X2 zipo 100 kwa 3500, zote zimetumika mara moja, na site ipo tegeta salasala kwa anayependa ni PM nikuunganishe kama wataka kuziona na kununua
 
Mkuu kwa hilo ghorofa la 144sqm, ulitumia tofali kama ngapi kwenye msingi tu?
 
Mkuu jee foundation yake inatumia nondo? Au pia saruji tu
 
Mkuu

Hebu nipe ushauri, nataka kununua nondo huku nje zishasukwa ni za kuunganisha tu. Kila sheet 2m na urefu 3m, nataka kutumia kwa foundation concrete slab na ile juu slab ya pili, nataka kujua size ya kutumia.

Nyumba nataka nitumie forali za kulaza tu. Na upana wa nyumba 7 meter na urefu 8 meter foundations
Hebu nisaidie kunipa idea ya ujenzi
 
Hii project ulishaimaliza....
 
Huku ni kudanganyana kwamba waweza kulaza tofari ukajenga nyumba ya gorofa moja bila nguzo wala nondo
Mkuu uliyeomba ushauri usijaribu kitu kama hicho dunia imebadilika mabadiliko ya tabia nchi na majanga ya asili vimezidi.
Tumia nguzo imara kwa nyumba imara.
 
Si ghorofa tu hata nyumba za kawaida ni bora kujenga kwa kutumia nguzo. Kuna wakati nyumba unaikuta ipo chini na barabara ipo juu, hivyo ni rahisi kuipandisha kama ina Nguzo. Uimara wa nyumba ni muhimu sana. Katika ujenzi kumbuka kuwa masikini ndiye hujenga nyumba na wala si tajiri kwani mdogomdogo huimarisha nyumba kuliko kujenga fasta.
 
Complications,
Nyumba ni ya chini, hizo nguzo za kazi gani??
Au unamaanisha zile zinazokaa pale barazani??
 
Complications,
Nyumba ni ya chini, hizo nguzo za kazi gani??
Au unamaanisha zile zinazokaa pale barazani??
Siimanishi za barazani nazungumzia za kwenye kona ili ziunganike na renta. Siyo Complications mkuu ila ni kuimarisha nyumba ili kireki zisikunyime usingizi
 
Inawezekana mkuu umeshamaliza hii project ile kwa faida ya wengine pia, options alizotaja mtoa mada zinakubalika isipokua tu ni lazima utambue kuna Fundi sio msemaji wa mwisho. Kama una architectural drawings tayari ni lazima upate na engineering drawings.
 
Siimanishi za barazani nazungumzia za kwenye kona ili ziunganike na renta. Siyo Complications mkuu ila ni kuimarisha nyumba ili kireki zisikunyime usingizi
Renta ni kodi au? linter sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…