Ujenzi wa Ghorofa Moja

Na hivi nikiweka nguzo imara kwa vile vyumba tu ambavyo juu yake vitabeba vyumba vingine (Sio Full gorofa), kuna haja ya kuimarisha msingi nao? Nikiweka wa kawaida tu itakuaje??
 
Watu wengine bana,
Mtoa Mada anajua pia kuna Engineer na Architect but ameleta hapa labda na kwa faida ya wengine, wewe unatoa namba ili mpelekane chemba, sio poa mkuu.

Wewe kama una ushauri mwaga hapa nasi wengine tufaidike!
kweli bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…