Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa kati nikaona si vibaya nilete trip ya mchanga kama hatua ya mwanzo.
Wakuu hata mbuyu ulianza ivi ivi kama mchicha
Nakaribisha mawazo chanya kwa ujenzi huu
Haters[emoji2958][emoji2958][emoji706][emoji706]