Za ubuyu ghorofa? Sidhan kama zipo recommended kitaalam, japo kama ulivyosema watu wanazitumia sana tu kujengea, unajua ujenzi kiviwango uko hivi nyumba iliyojengwa kwa kuzingatia viwango na ambayo haikujengwa kiviwango tofauti hutoiona leo ila baada ya muda kupita, au kukitokea let say tetemeko ndo utaona tofauti zake. Ndo maana kuna maghorofa yamejengwa miaka mitatu iliyopita leo hii slab inabanduka banduka, au unakuta zile slab zinazotumika kuweka taa unakuta zinameguka zenyewe.wakuu kuna watu naona wanatumia izi kokoto nyepesi maarufu kama za kokoto za ubuyu kwenye ujenzi wa gorofa. izi usalama wake ukoje nazo?zinafaa kutumika?
Kiukweli ukitaka kujenga ghorofa na bajeti yako ipo tight tumia wataalamu watakuguide sehemu za kupunguza gharama, watakushauri materia ambayo sio ghali sana n.k