Kobello kwa residential building just ghorofa moja nondo za local zinafaa? mfano zile za kile kiwanda cha mikocheni MMI steel au lazima za nje au local kama za viwanda vikubwa kama Kamal?Anza kununua nondo na kuzisuka. Mchanga Bei yake ipo stable.
Kwenye nguzo naona kuna wanaoweka za 12mm nondo 6 na wengine nondo 4 za 16mm vipi ni nini maoni yako juu ya hili?