Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

Did I say imenishinda mzee ?! Kwa ufupi mjengo upo hapa kwa sasa
Sasa mzee unalalamika 2mil per trip was shocking to me.

Hapo umeokoa bati big time.....

ingekua paa la mgongo it means ni Nabaki Africa which means total price ya roof ni twice bei ya msingi

kama msingi ulikua unalalamika,then paa ambalo ni twice ya msingi ungelitolea wapi?thats was my logic
 
Mleta mada ana ndoto za kujenga his/her dream house ambayo ni ghorofa ila ameanza na kifusi .. mtu kama huyu hutakiwi kumtisha .. hesabu za finishing .. what I was trying kumwambia aanze na msingi na ndio kila kitu pale akishatandika mkeka anaweza akavuta pumzi hata miaka miwili akitaka ..kifusi unapata anytime materials kama NONDO na zile kokoto nyeusi Zinapanda kila kukicha wakisingizia mafuta yanapanda bei pia ..
 
Mkuu nakuelewa,ila sometimes kuna sisi ambao hatunaga sugar coating

Muda wa kutisha mtu sidhani kama kuna mtu anao,issue hapa ni kutoa ukweli tu

Kwamba kama hapa chini ana anza kulia lia then kuna mlima 4X upo hapo mbeleni,thats our job kusema UKWELI

Regardless umeeleweka kuna nyie optimists na kuna sisi realists,ni sawa,two realms!
 
Nimekuelewa pamoja sana ..
 
wakuu kuna watu naona wanatumia izi kokoto nyepesi maarufu kama za kokoto za ubuyu kwenye ujenzi wa gorofa. izi usalama wake ukoje nazo?zinafaa kutumika?
 
Kobello kwa residential building just ghorofa moja nondo za local zinafaa? mfano zile za kile kiwanda cha mikocheni MMI steel au lazima za nje au local kama za viwanda vikubwa kama Kamal?
Kwenye nguzo naona kuna wanaoweka za 12mm nondo 6 na wengine nondo 4 za 16mm vipi ni nini maoni yako juu ya hili?
Mie nimeweka nondo 9 za 12mm.
 
Jengo ni ghorofa ngapi? ni la makazi? any way huwa inategemea na structural engineer alivyodesign jengo
Structural engineer atakuguide lakini kuhusu nondo local zinafaa na ndio zinajenga majengo mengi ya kuishi hizi ghorofa moja na mbili.
 
Back
Top Bottom