Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

Katika ujenzi wa ghorofa msingi ndio unakula pesa na ndio muhimu na kitu cha gharama sana ni NONDO na kokoto nyeusi za lugoba anza hapo kwanza ..mchanga unapatikana muda wowote kwa bei rahisi
[emoji2296][emoji2357]duh kwaiyo unataka kusemaje mkuu?najihisi tumbo la kuhara ghafla
 
Msingi wa ghorofa gharama yake tu ni sawa sawa umeweza kusimamisha nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu yani isimame boma lake ukapiga renta kabisa, ukaweka na paa na nondo madirishani na ukaminina na jamvi kabisa na ukamalizia plasta ya kwa ndani tu[emoji1787]
 
Halafu kama umeamua kujenga ghorofa hakikisha una muda wa kusimamia maana ukiwekewa vitu ambavyo sio standard mfano nondo, au ratio za cement kwa kupunja hilo ghorofa litakuja kuleta maafa makubwa na kuwapoteza wapendwa wako, na usiwe mbahili kabisa usibane bane material usije jutia ghorofa limefika juu likaporomoka, na tafuta mafundi wenye ubobezi kwenye ujenzi na uzoefu wa kutosha ikibidi wakuonyeshe kazi walizofanya za ujenzi wa ghorafa sio mafundi wa mtaani
 
Msingi wa ghorofa gharama yake tu ni sawa sawa umeweza kusimamisha nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu yani isimame boma lake ukapiga renta kabisa, ukaweka na paa na nondo madirishani na ukaminina na jamvi kabisa na ukamalizia plasta ya kwa ndani tu[emoji1787]
[emoji2296][emoji2357]duh mkuu mbona km unaniongezea tumbo la kuhara
 
[emoji2296][emoji2357]duh mkuu mbona km unaniongezea tumbo la kuhara
Inategemeana lakini unapandisha floor ngapi, hapana usiogope ni kupeana uhalisia tu si ndiyo maana ya kupata ushauri wa hapa na pale ili ujue jambo unalotaka kufanya ujipange
 
Tr
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa

Msiseme sikuwaambia

Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.

Nilipata kijisenti hapa kati nikaona si vibaya nilete trip ya mchanga kama hatua ya mwanzo.

Wakuu hata mbuyu ulianza ivi ivi kama mchicha

Nakaribisha mawazo chanya kwa ujenzi huu

Haters[emoji2958][emoji2958][emoji706][emoji706]
Trip 1 ya mchanga bei gani?
 
Back
Top Bottom