Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Huyu ni 20'ssawa ila je
Una umri wa miaka mingapi?
sa mkuu mjengo na umri wapi na wapisawa ila je
Una umri wa miaka mingapi?
Ukiwa na 60 yrs afu uanze kudunduliza namna hiyo ngoma haitaisha kabla ya wewe kuvuta.sa mkuu mjengo na umri wapi na wapi
Ukiwa na 60 yrs afu uanze kudunduliza namna hiyo ngoma haitaisha kabla ya wewe kuvuta.
umekuwa nida mkuu?Huyu ni 20's
Leta na ramani yakeWakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa kati nikaona si vibaya nilete trip ya mchanga kama hatua ya mwanzo.
Wakuu hata mbuyu ulianza ivi ivi kama mchicha
Nakaribisha mawazo chanya kwa ujenzi huu
Haters[emoji2958][emoji2958][emoji706][emoji706]
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa kati nikaona si vibaya nilete trip ya mchanga kama hatua ya mwanzo.
Wakuu hata mbuyu ulianza ivi ivi kama mchicha
Nakaribisha mawazo chanya kwa ujenzi huu
Haters[emoji2958][emoji2958][emoji706][emoji706]
Tena azisuke twende kilioni.Anza kununua nondo na kuzisuka. Mchanga Bei yake ipo stable.