Kobello kwa residential building just ghorofa moja nondo za local zinafaa? mfano zile za kile kiwanda cha mikocheni MMI steel au lazima za nje au local kama za viwanda vikubwa kama Kamal?Anza kununua nondo na kuzisuka. Mchanga Bei yake ipo stable.
Nondo local zinafaa ili mradi kiwanda kiwe approved.Kobello kwa residential building just ghorofa moja nondo za local zinafaa? mfano zile za kile kiwanda cha mikocheni MMI steel au lazima za nje au local kama za viwanda vikubwa kama Kamal?
Kwenye nguzo naona kuna wanaoweka za 12mm nondo 6 na wengine nondo 4 za 16mm vipi ni nini maoni yako juu ya hili?
Kaka kwanza shukrani sana kwa kureply maana najua una uzoefu mkubwa sana na maghorofa/ujenzi in general kupitia post zako nyingi nilizosoma hebu ngoja kwanza kwenye huo mjengo ambao so far upo fresh unasema zilitumika 4 kwenye column hizo zilikuwa za mm 12 au 16? again shukran sana mkuu kwa kureplyNondo local zinafaa ili mradi kiwanda kiwe approved.
Kuhusu kutumia 16 au 12mm kwenye nguzo, hiyo inategemea, maana nguzo 4 za 16mm siyo sawa na nguzo 6 za 12mm kwa area hata kwa uzito.
Pia, center to center distance Kati ya nondo itabidi iwe calculated bila kusahau splicing length kwenye nondo nene itabidi iwe kubwa.
Best bet, 12mm main na 8mm stirrups. Kwa column 4 zinatosha.
Ila Mimi siyo engineer. But basically nimeona nyumba IPO fresh mwaka wa 14 na columns Zina 4 rebars.
ntaweka mbigili na pilipili kwa mbali kuzibiti waharibifu kama hawaMmenikumbusha utoto, jirani akileta mchanga inakuwa ni uwanja wa sarakasi mpaka mchanga wote unasambaa na kupotea! Ndio wakaanza kuweka miba,
Wabongo ni mabingwa wakutumia reinforcement kuubwa kwenye majengo ya kawaida.Kaka kwanza shukrani sana kwa kureply maana najua una uzoefu mkubwa sana na maghorofa/ujenzi in general kupitia post zako nyingi nilizosoma hebu ngoja kwanza kwenye huo mjengo ambao so far upo fresh unasema zilitumika 4 kwenye column hizo zilikuwa za mm 12 au 16? again shukran sana mkuu kwa kureply
Zilikuwa 12mm, na stirrups za 8mm.Kaka kwanza shukrani sana kwa kureply maana najua una uzoefu mkubwa sana na maghorofa/ujenzi in general kupitia post zako nyingi nilizosoma hebu ngoja kwanza kwenye huo mjengo ambao so far upo fresh unasema zilitumika 4 kwenye column hizo zilikuwa za mm 12 au 16? again shukran sana mkuu kwa kureply
Kama million ngapi hapo kwa hesabu za haraka?Msingi wa ghorofa gharama yake tu ni sawa sawa umeweza kusimamisha nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu yani isimame boma lake ukapiga renta kabisa, ukaweka na paa na nondo madirishani na ukaminina na jamvi kabisa na ukamalizia plasta ya kwa ndani tu[emoji1787]
Thanks sana kaka usinichoke nitakuja inbox kwa ushauri zaidi dah be blessed sana brotherZilikuwa 12mm, na stirrups za 8mm.
Ni kweli kabisa. Msingi wa ghorofa unakula 30m - 40m.Msingi wa ghorofa gharama yake tu ni sawa sawa umeweza kusimamisha nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu yani isimame boma lake ukapiga renta kabisa, ukaweka na paa na nondo madirishani na ukaminina na jamvi kabisa na ukamalizia plasta ya kwa ndani tu[emoji1787]
Gharama inategemea na vitu vingine pia mfano ukubwa wa eneo la jengo, jengo ni ghorofa ngapi, aina ya udongo uliopo jengo litakapojengwa n.kNi kweli kabisa. Msingi wa ghorofa unakula 30m - 40m.
Definitely.Gharama inategemea na vitu vingine pia mfano ukubwa wa eneo la jengo, jengo ni ghorofa ngapi, aina ya udongo uliopo jengo litakapojengwa n.k
Hapo mziki....Katika ujenzi wa ghorofa msingi ndio unakula pesa na ndio muhimu na kitu cha gharama sana ni NONDO na kokoto nyeusi za lugoba anza hapo kwanza ..mchanga unapatikana muda wowote kwa bei rahisi
Finishing ni cha mtoto Mkuu kwa Nondo,Cement na Kokoto za Slab.Hapo mziki....
Mziki mkali kushinda wote ni finishing,u will die walking
With this nadhani hujajenga ghorofa badoFinishing ni cha mtoto Mkuu kwa Nondo,Cement na Kokoto za Slab.
Sawa, kila mtu na uzoefu wake.With this nadhani hujajenga ghorofa bado
Finishing ni 3X kujenga pagala mzee.....
Uzuri finishing ina optins nyingi sana hivyo ni rahisi kucheza nazo upunguze cost sasa slab options zinategemea design ya mhandisi/fundi mchundo ambapo napo huwa hamna option nyingi na finishing unaweza acha kwanza ukahamia au ukafanya kwa awamu hivyohivyo lakin kwenye slab ni ngumu kupata options kama hizoFinishing ni cha mtoto Mkuu kwa Nondo,Cement na Kokoto za Slab.
Mwaka jana Namwaga kokoto ya nyeusi gari kubwa ile 2M .. hapo unahitaji trip 4 au tano kwa ajili ya msingi ... Cement grade ya juu namba 40 sijui 42 ratio kali ..kwa ufupi nyumba ya ghorofa moja msingi wa maana unaweza maliza 50M hapo hujamwaga jamviWith this nadhani hujajenga ghorofa bado
Finishing ni 3X kujenga pagala mzee.....
sasa kama kokoto ya 2m per trip inakushinda,then bati ya nabaki africa kipande ni 44k na vipande ni 1,500pcs hiyo 66mil bado mbao za paa au metal channels na kupaua,then hili paa litakushinda kabisaMwaka jana Namwaga kokoto ya nyeusi gari kubwa ile 2M .. hapo unahitaji trip 4 au tano kwa ajili ya msingi ... Cement grade ya juu namba 40 sijui 42 ratio kali ..kwa ufupi nyumba ya ghorofa moja msingi wa maana unaweza maliza 50M hapo hujamwaga jamvi
Did I say imenishinda mzee ?! Kwa ufupi mjengo upo hapa kwa sasasasa kama kokoto ya 2m per trip inakushinda,then bati ya nabaki africa kipande ni 44k na vipande ni 1,500pcs hiyo 66mil bado mbao za paa au metal channels na kupaua,then hili paa litakushinda kabisa
Bado hujafanya blundering aidha kwa treat mbao ya sao hill au metal channels,nigga hukatizi hapo
Marble nyumba nzima square meter ni 400,000tzs,nigga hukatizi
Machoo hupiti kabisa,jiko huingii...dirisha za rimless glass total ni zaidi ya 200mil,air conditioning system pamoja na ventilation,mzee acha kungea kirahisi namna hii
Na usikariri material mazuri hayapo Nabaki pekeesasa kama kokoto ya 2m per trip inakushinda,then bati ya nabaki africa kipande ni 44k na vipande ni 1,500pcs hiyo 66mil bado mbao za paa au metal channels na kupaua,then hili paa litakushinda kabisa
Bado hujafanya blundering aidha kwa treat mbao ya sao hill au metal channels,nigga hukatizi hapo
Marble nyumba nzima square meter ni 400,000tzs,nigga hukatizi
Machoo hupiti kabisa,jiko huingii...dirisha za rimless glass total ni zaidi ya 200mil,air conditioning system pamoja na ventilation,mzee acha kungea kirahisi namna hii