Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sasa mzee unalalamika 2mil per trip was shocking to me.Did I say imenishinda mzee ?! Kwa ufupi mjengo upo hapa kwa sasa
Kwahiyo material sahihi especially bati zipo sunshare?really?Na usikariri material mazuri hayapo Nabaki pekee
Mleta mada ana ndoto za kujenga his/her dream house ambayo ni ghorofa ila ameanza na kifusi .. mtu kama huyu hutakiwi kumtisha .. hesabu za finishing .. what I was trying kumwambia aanze na msingi na ndio kila kitu pale akishatandika mkeka anaweza akavuta pumzi hata miaka miwili akitaka ..kifusi unapata anytime materials kama NONDO na zile kokoto nyeusi Zinapanda kila kukicha wakisingizia mafuta yanapanda bei pia ..Sasa mzee unalalamika 2mil per trip was shocking to me.
Hapo umeokoa bati big time.....
ingekua paa la mgongo it means ni Nabaki Africa which means total price ya roof ni twice bei ya msingi
kama msingi ulikua unalalamika,then paa ambalo ni twice ya msingi ungelitolea wapi?thats was my logic
Mkuu nakuelewa,ila sometimes kuna sisi ambao hatunaga sugar coatingMleta mada ana ndoto za kujenga his/her dream house ambayo ni ghorofa ila ameanza na kifusi .. mtu kama huyu hutakiwi kumtisha .. hesabu za finishing .. what I was trying kumwambia aanze na msingi na ndio kila kitu pale akishatandika mkeka anaweza akavuta pumzi hata miaka miwili akitaka ..kifusi unapata anytime materials kama NONDO na zile kokoto nyeusi Zinapanda kila kukicha wakisingizia mafuta yanapanda bei pia ..
Nimekuelewa pamoja sana ..Mkuu nakuelewa,ila sometimes kuna sisi ambao hatunaga sugar coating
Muda wa kutisha mtu sidhani kama kuna mtu anao,issue hapa ni kutoa ukweli tu
Kwamba kama hapa chini ana anza kulia lia then kuna mlima 4X upo hapo mbeleni,thats our job kusema UKWELI
Regardless umeeleweka kuna nyie optimists na kuna sisi realists,ni sawa,two realms!
😂😂😂😂Hata mimi ninazo fikra za kumiliki gari. Jana nimenunia petroli lita tano, nikupata maokoto nitanunua tairi moja halafu usukani halafu rangi nk
kumekucha ndiyo neno sahihi.Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
we jamaa umemeza ugimbi auKwanini usijengee tope jamaa kupunguza gharama
Aisee nakunywa sana ngedulewe jamaa umemeza ugimbi au
punguza kiongozi usije kupata kitambi cha kihindiAisee nakunywa sana ngedule
HahaahhahaahaMajirani tunashukuru kuletea mchanga wa kusugulia vyombo😂😂😂
Mie nimeweka nondo 9 za 12mm.Kobello kwa residential building just ghorofa moja nondo za local zinafaa? mfano zile za kile kiwanda cha mikocheni MMI steel au lazima za nje au local kama za viwanda vikubwa kama Kamal?
Kwenye nguzo naona kuna wanaoweka za 12mm nondo 6 na wengine nondo 4 za 16mm vipi ni nini maoni yako juu ya hili?
Jengo ni ghorofa ngapi? ni la makazi? any way huwa inategemea na structural engineer alivyodesign jengoMie nimeweka nondo 9 za 12mm.
Structural engineer atakuguide lakini kuhusu nondo local zinafaa na ndio zinajenga majengo mengi ya kuishi hizi ghorofa moja na mbili.Jengo ni ghorofa ngapi? ni la makazi? any way huwa inategemea na structural engineer alivyodesign jengo
3flr, residentialJengo ni ghorofa ngapi? ni la makazi? any way huwa inategemea na structural engineer alivyodesign jengo
Ndo maana nondo zipo 9! hongera 3rd floor si mchezo!3flr, residential