DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
🤣🤣 mimi mwnyw nipo hapa kongo chini nimwmwaga zaga juu watu wanajenga ukiangukiwa na chuma utajua mwenyewe.... na sisi tunatafta rizk niend wap
Poleni. Vaeni helmet
 
Sisi kama serikali hatutaingilia tunaogopa mtagoma kufungua maduka.
 
Kariakoo si mnajidai vichwa ngumu uaneni tu ili biashara ifanyike. Juzi nimepita Mt Msimbazi kuna magorofa nimeona yamegusana kabisa.
Kko ujenzi huko unaofanyikaga ni wa kizushi,ukingalia wanavyoanza msingi tu kuchimba utajuwa huko juu ni longolongo tupu 😄

Ova
 
Mimi mpitaji Tu mkuu kwani ghorofa zangu??
OSHA wakija kukagua huko Kariakoo watakuta 90% ya majengo hayafai kufanya ofisi/biashara. Wakisema wafunge mtakubali na mshalipa hadi vilemba? Pambaneni na hali zenu.
 
Mara nyingi wanajengan usiku mnene na mchana wanapumzika,kwahiyo Wacha watu waishi. maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…