DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jana nimeponea chupuchupi.nimekuja huku kumbe wadau walishaongea kwa kirefu huku.majengo yanavunjwa bila mpangilio hakuna hata alama ya hatari.wanaovunja huko juu ni vibaka Tu hawana hata safety gear.sijui wamevuta bange au nini ukiangukiwa na kitu utajua mwenyewe.
Kwani hii nchi haina utaratibu??
KERO - Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga
Bongo mamlaka ni Kama mbuzi tu hasikii mpk akishapikwa supu
 
Kama mamlaka husika zingekuwa zinafuatilia na kuwajibika ipasavyo kuna mambo mengi uletwa hapa jukwaani kama utani lakini yakishatokea ndio tunaanza kuelewana
 
Back
Top Bottom