Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

I got you na mimi sio shabiki kijani ila sio kwamba huyu mama anaweza ona kote wewe taka mamlaka husika ziwajibike then fanya kama mama unampa ushauri ila sio kumtupia ghorofa unaweza kuta halikuwa hajui hata kama kkoo kuna maghorofa
Kama hawezi ona kote then HAFAI KUWA RAIS
 
I got you na mimi sio shabiki kijani ila sio kwamba huyu mama anaweza ona kote wewe taka mamlaka husika ziwajibike then fanya kama mama unampa ushauri ila sio kumtupia ghorofa unaweza kuta halikuwa hajui hata kama kkoo kuna maghorofa
Sihitaji kumpa ushauri, yeye ananimegea kwenye mshahara wake ?

She is responsable kwa chochote, yeye si ndio Rais ? Hizo mamlaka zipo chini ya nani?
 
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated

Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.

Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?

NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,

Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.

Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe

Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale

Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;

Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.

Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture

Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote !
Nchi imetoboka hii.....inavuja.
 
You must be damned kufanya merger ya tawala ya JPM na Samia. Hao watu wametokea chama kimoja ila level ya utashi wa usimamizi na uongozi wao falsafa zao ni very different.

JPM alikuwa bold and strict pia mfuatiliaji wa karibu wa miradi ya serikali pamoja na managers wake aliowapa nafasi ya kusimamia. Kisha report atapokea ila ukidanganya umeisha.

Samia ni Laissez faire yeye anaachia kila kitu kijiendee automatically akiamini kila mtu atafanya majukumu yake, kiasi kwamba akitokea mtu aka corrupt mfumo yeye hatakaa ajue sababu anategemea report tu haendi deep kufuatilia nini kinafanyika exactly. Watanzania ni watu ambao wavivu na hawawezi kujisimamia mpaka kuwe na jitihada za ziada za kuwabana. Mama kaliba hio hana
 
Kusema kuwa sina muda kujibu swali lako ndiyo imekuwa vita? Una zaidi ya swali na ndiyo maana nimekukataa. Shida yako ni kuisema awamu ya sita kuwa ni awamu ya giza. Narudia tena awamu ya sita ni utawala wa giza. Kama umechukia kamwambie Mafwele niko tayari kumkabili.
Hii awamu hata mimi sielewi wanachofanya mkuu, Naomba kwa hilo unielewe kuwa mimi sio chawa na ugali wangu hautokani na hiyo mishe kabisa kwa sasa wala sina mpango huo kamwe, naomba tu uthibitishe uwepo wa jehanam ๐Ÿค” hilo tu ndio nina kiu nalo kiongozi wangu๐Ÿ™
 
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated

Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.

Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?

NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,

Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.

Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe

Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale

Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;

Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.

Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture

Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote !
Hapo Samia mtakuwa mnamsingizia ila Kkoo tokea enzi ya Msoga gorofa zinaota kama uyoga, standard hamna ,hawaweki parking za magari, magorofa yame karibiana vurugu tupu. Samia hapa mnamuonea. Yaani kwenye ardhi na maswala ya ujenzi kuna vurugu tokea enzi ya Mkapa,ila awamu ya nne ndio ilikuwa Kero too much,Magu alivyo kuja akaziba milija ya hela za magumashi,speed ikapungua halafu walikuwa waoga.Yaani bongo open space enzi ya Msoga ziliuzwa sana,yaani siku hizi watoto wanashinda ndani na magame, hawachezi hata cha ndimu maana viwanja hamna,yaani kwenye ujenzi na ardhi pako hovyo tokea zamani.
 
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated

Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.

Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?

NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,

Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.

Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe

Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale

Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;

Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.

Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture

Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote !
Sisi tunasema UKWELI na tutausema UKWELI daima hatuna Raisi,wanaosifia waendelee kumsifia tu,hafuatilii chochote lkn watu wanamsifia.Nchi ina wajinga sana hii.
 
Kwani umefanya utafiti umebaini limejengwa enzi za mama samia
Usome kuelewa,ok limejengwa Mkapa regime main post kuna kipande kinasema nitanukuu โ€œPembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeniโ€

Ulielewa huo mstari hapo?waliotoa kibali ghorofa ijengwe nani anawatuma kama siyo Samia?na dizain yako ndiyo mmejaa kwenye vitengo muhimu nchi hii mnachomekwa tu huku ni form four failure hamjui A wala B.
 
Hilo jengo ni la zamani

Ila nimeona moja linajengwa sinza mugabe pale hadi nikasimama kushangaa kidogo. Yaani jamaa wamechimba chini wamepanga mambao sasa ajabu pembeni kuna ghorofa lingine, na lenyewe kama linaninginia kutokana na hao jamaa jirani wanaochimba.

Sijawahi kuona ujenzi huo na sina ujuzi wa ujenzi lakini nilishtuka kidogo.
Zile ghorofa unazoziona dubai zote misingi yake imeshuka chini sana, Fikiria zilivyo karibu halafu ndefu ๐Ÿค”๐Ÿค”
Explore-the-awe-inspiring-beauty-of-Dubais-Top-10-Iconic-buildings-1200x900.png
Kinachozingatiwa ni kuukuta mwamba mgumu ambao unafanya ghorofa lisididimie chini kwenye mchanga ..

Kadiri unavyotaka ghorofa liwe refu ndipo unapohitajika kushusha chini zaidi msingi na kuuongezea uzito wa kutafutia balance [Centre of Gravity] ..

Ghorofa la pembeni haliwezi kufanya chochote sababu nalo pia limekaa kwenye msingi stable. ..

Kwani huoni hilo limeporomoka ila halijaathiri hayo mengine ya jirani?

Fikiria jengo "Burj kharifa" refu kuliko yote duniani ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
project3-silver20-ame-dubai-burj-khalifa-mixeduse-facility.jpeg

Angalia msingi wake ulivyoundwa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Screenshot_20241116-193607~2.png

NB: Maghorofa mengi kuanguka chanzo chake ni msingi kutokua Imara , Siku likipata mtikisiko kidogo tu Kwishaa ..!!

: Chanzo sio Serikali kama wengi wanavyolaumu bali Tamaa za Maengineer kutaka kupiga pesa nyingi pembeni ..!!

:Hivi mwekezaji nani atakubali kutake risk ya kujengewa kitu kisicho Imara na Anaweka pesa zake?

๐ŸŸคUsiogope tena mkuu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Mpuuzi huyo orofa ya miaka zaidi ya 30 anataka kuaminisha watu uongo wake ubwa kbs huyo!!
Acheni kumsifia mama yenu hata kwa mambo ya kipumbavu yanayofanyika. Wewe jamaa kakwambia maghorofa mapya yanayojengwa yanadisturb misingi ya maghorofa ya liyokuwepo kupelekea instability kwa majengo yaliyokuwepo kwahiyo ni bora standards zilizowekwa katika majenzi zinapaswa kuzingatiwa, kitu ambacho serikali ya huyu bibi yetu haina muda nalo wao wanachojali ni kujinufaisha tu.
 
Wewe ndiye umekuwa na kiherere kuni quote. Koma kabisa sawa sawa ?
Huyu bwana ana utaahira fulani wa ujuaji, hujiita atheist so akikuta mtu ameandika kitu kama shetani peponi motoni au Mungu atamshika shirt akitaka uthibitisho.

Anadhani kila mtu ana muda wa kupoteza kama yeye,nadhani ni wa kumpuuza last time kukutana nae kwenye mchezo wake huu nilimshauri aache kuumia na wanavyoamini watu coz wanapoandika hawam-tag naona hakunielewa.
 
Zile ghorofa unazoziona dubai zote misingi yake imeshuka chini sana, Fikiria zilivyo karibu halafu ndefu ๐Ÿค”๐Ÿค”
View attachment 3153893Kinachozinfatiwa ni kuukuta mwamba mgumu ambao unafanya ghorofa lisididimie chini kwenye mchanga ..

Kadiri unavyotaka ghorofa liwe refu ndipo unapohitajika kushusha chini zaidi msingi na kuuongezea uzito wa kutafutia balance [Centre of Gravity] ..

Ghorofa la pembeni haliwezi kufanya chochote sababu nalo pia limekaa kwenye msingi stable. ..

Kwani huoni hilo limeporomoka ila halijaathiri hayo mengine ya jirani?

Fikiria jengo "Burj kharifa" refu kuliko yote duniani ๐Ÿ‘‡View attachment 3153896
Angalia msingi wake ulivyoundwa ๐Ÿ‘‡View attachment 3153897

NB: Maghorofa mengi kuanguka chanzo chake ni msingi kutokua Imara , Siku ukipata mtikisiko kidogo tu Kwishaa ..!!

๐ŸŸคUsiogope tena mkuu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Una akili wewe?mpo radhi kutetea ujinga kwa sababu katikati ya post amezungumzwa dada yenu wa Kipemba.

Unafananisha mbingu na dunia?ktk hizo ghorofa ulizoweka hapo Google nani alikuwa contractor wake then rudi kesho pale Kariakoo kachunguze ghorofa inayosemwa inajengwa pembeni ya iliyodondoka leo nani contractor wake uje hapa useme.
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Ndiyo Sina akili mkuu, wewe ndiye unazo...!!

Zingatia hiyo point ya Chanzo cha ghorofa kuanguka ni Msingi mbovu ukiachana na zile sababu za kiasili like Matetemeko n.k..!!

Sometime Tamaa za Maengeneer kujipatia pesa nyingi, wanacgakachua pesa zilizobidi kununua Material ..

Sometime Engineers wanalazimika kufanya hivyo kuendana na budget waliyopewa ..!!

Naona dubai imekushitua sana, Haya hapa ni Bongo, Hizi jengo ziko stable sana ..!!
dar-es-salaam-city-993x430.jpg
 
Back
Top Bottom