Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

Bongo ukianza kujenga kabla hujalipia utakuta umeandikiwa ukutani..Simamisha ujenzi mpaka ulipie" Kikubwa kwa manispaa au wahusika wa eneo ni ulipie pesa tu, hawajali kiwango cha ubora wa ujenzi wala eneo kama linafaa kwa ujenzi wa ghorofa kulingana na mazingira. What do you expect?. Magorofa Kariakoo yana mushroom kila kukicha alimradi malipo yamefanyika. Nadhani hakuna evaluation yoyote inayofanyika kabla ya ujenzi. Matokeo yake ni risk ya majengo hayo au ya kando kudondoka. Hilo la Kariakoo sishangai limeanguka. This was bound to happen at some point - kwa huu ujenzi holela na wa karibu karibu bila kuhusisha wataalamu na kuzingatia professionalism. Nasikitika sana kwa watu walioathirika ama kupoteza maisha hapo. Inahuzunisha
 
😆😆 Ndiyo Sina akili mkuu, wewe ndiye unazo...!!

Zingatia hiyo point ya Chanzo cha ghorofa kuanguka ni Msingi mbovu ukiachana na zile sababu za kiasili like Matetemeko n.k..!!

Sometime Upigaji wa Maengeneer ili wapige pesa zilizobidi kununua Material..

Sometime Engineers wanalazimika kufanya hivyo kuendana na budget waliyopewa ..!!

Naona dubai imekushitua sana, Haya hapa ni Bongo, Hizi jengo ziko stable sana ..!!
View attachment 3153907
Mkuu unajihangaisha bure tu,hapa wengi wao wanalumbana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa tu na chuki,wala hawataki kusikia utaalamu wowote ule.
 
Mkuu unajihangaisha bure tu,hapa wengi wao wanalumbana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa tu na chuki,wala hawataki kusikia utaalamu wowote ule.
Yaah!! Natambua hilo, wanareact emotional..

Ukiandika chochote hapa hawasomi kuelewa bali kuku attack personal kulingana maybe na chuki zilizo mioyoni mwao ...

Point kama hizi tunaziweka kwa watu Strong mentality kama wewe, Kwa low minded people ni Trash ..
 
Naona dubai imekushitua sana, Haya hapa ni Bongo, Hizi jengo ziko stable sana ..!!
View attachment 3153907
Ishu siyo hayo majengo kusimama the issue is,ni nani hao walojenga haya majengo?Wana uwezo gani kivifaa wanajenga ili kesho waaminiwe tena au wasiaminiwe?

Kariakoo pale kuna ghorofa wasimamizi wakuu ni saidia fundi huko Chanika na wameaminiwa na mabosi na hii yote inatokana na waliopewa dhamana serikalini kusimamia mambo haya hawatoki mtaani kukagua
 
Sawa sawa Mtaalamu, nimekupata ..!! 👍🏾
 
Mkuu unajihangaisha bure tu,hapa wengi wao wanalumbana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa tu na chuki,wala hawataki kusikia utaalamu wowote ule.
Matatizo ya waafrika zaidi ya asilimia 90 chanzo ni siasa waliofanikiwa wengi ni matokeo ya ulaghai na kujua kula na mamlaka
Wasiofanikiwa au wanaojitafuta role model wao ni wanasiasa/wafanya biashara wenye advantage fulani fulani za kimamlaka,wataaluma kila mtu anawaza kuiba ili kucover gape la mafanikio maana ukinyooka sahau kutoboa kwenye nchi hii
Hivyo usishangae watu wa kawaida kuwa na chuki na wanasiasa hata kwa tatizo lisilohusu siasa kwa 100%
 
Acheni kumsifia mama yenu hata kwa mambo ya kipumbavu yanayofanyika. Wewe jamaa kakwambia maghorofa mapya yanayojengwa yanadisturb misingi ya maghorofa ya liyokuwepo kupelekea instability kwa majengo yaliyokuwepo kwahiyo ni bora standards zilizowekwa katika majenzi zinapaswa kuzingatiwa, kitu ambacho serikali ya huyu bibi yetu haina muda nalo wao wanachojali ni kujinufaisha tu.
Instability ya foundation ya jengo, na ujenzi wa maorofa mapya Rais unamlaumu Rais? Ukifikia hapo jipe pole, u are dead body walking!!!
 
Instability ya foundation ya jengo, na ujenzi wa maorofa mapya Rais unamlaumu Rais? Ukifikia hapo jipe pole, u are dead body walking!!!
Endeleeni kusifia mambo ya kipumbavu wajinga nyinyi unadhani kwa rais dhaifu kuna lolote la maana hufanyika. Yaani rais anapokuwa hajui anachokifanya kila sekta na taasisi kwa nature ya taifa letu huwa ni upigaji mtindo mmoja.

Endeleeni kuimba nyimbo za mitano tena wapuuzi nyinyi.
 
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated

Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.

Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?

NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,

Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.

Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe

Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale

Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;

Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.

Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture

Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote

PIA SOMA
- Breaking News: - Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
Siyo ujenzi wa magorofa tu usiozingatia viwango, hata nyumba tunazozijenga. Siku moja nilikuwa natafuta matofali ya kununua na watu wakanishauri niende mahali fulani. Nikakuta vijana wanavyatua, na nikawauliza mfumo mmoja wanatoa matofali mangapi, kijana mmoja akaniambia ni 40. Nikaona ni karibu na kiwango matofali 30-32. Baadaye nilikwenda mahali kupata kinywaji cha baridi, nikamwona yule kijana aliyeniambia mfuko mmoja wa simenti wanatoa matofali 40. Nikamwita aje kukaa kwenye meza nilipokaa, akaja. Nikamuuliza anatumia kinywaji gani, akasema Castle. Nikamwagizia. Nikamuuliza, " hebu kijana niambie ukweli. Mfuko mmoja wa simenti mnatoa matofali mangapi?" Akajibu "70". Nikamuuliza tena, "mbona nilipokuuliza uliniambia 40?" Akasema "hiyo ilikuwa lugha ya biashara tu." Na kuna matofali mengine unaona ni mchanga mtupu, labda mfuko mmoja wanatoa 90 au hata 100. Jirani yangu aliletewa matofali yaani yalikuwa mchanga mtupu, ikabidi fundi ayakatae, yakarudishwa. Sasa katika mazingira haya, ambayo watu wanajali zaidi fedha kuliko maisha ya watu hatuko salama kabisa. Hata Kuta ambazo watu wanajenga wanatumia matofali ambayo ni almost mchanga mtupu, na baada tu ya wiki moja nyufa zinaanza kuonekana. Ningepata mtaji mzuri, nilitaka nijaribu matofali ya kiwango (mfuko 1: matofali 30-32), lakini najua wajenzi wengi waliozoa kupiga cha juu wasingweza kuyanunua au kumshauri bosi wao ayanunue kwa sababu ningeweka bei juu kidogo na kuyasimamia na mteja akija tunajadibu kuyatupa chini kuona kama yanavunjika au kupigilia msumari kuona kama unapenya. Haya ya kwetu hata ykitumia kidole tu unaweka shimo. Bure kabisa!
 
Attachments

  • IMG_3135.jpeg
    IMG_3135.jpeg
    790.2 KB · Views: 1
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated

Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan, matokeo yake Gorofa inayojengwa wamechimba sana hadi kwenda ku disturb foundation ya gorofa la pembeni, kitu kikaitika.

Huu ni uzembe wa Mamlaka husika na sitegemei kama wanapaswa kuendelea kuwepo ofisini as we speak !
Magorofa ya KKO yote hayafuati Viwango , Quality Assurance na Quality Control ipo compromised sana kwa rushwa kutoka mamlaka za vibali. Hata kama kweli unazo hela, ndio ukamilishe ujenzi wa gorofa kwa wiki mbili ?

NI MAMLAKA GANI INAYOHUSIKA KUTOA VIBALI,? Hawapaswi kuwa Ofisini, watawamaliza watanzania wote,

Nendeni mkachunguze,Gorofa zinajengwa mid night, umbali kati ya gorofa na gorofa ni zero distance kiasi kwamba wakati wa uchimbaji ukikosea code, unaathiri foundation ya gorofa lingine na haya yote yanafanyika huku mamlaka husika zikitazama.

Kama mtaendeleza Uchawa kwa viongozi wenu nyie vijana wa Lumumba , tambueni mpo kwenye nyumba mnayoibomoa wenyewe

Samia ni continuation ya JPM , chini ya utawala wa Samia kuna matukio mengi ya uwajibika hayachukuliwi hatua, utitiri wa gorofa KKO ni mwingi mamlaka husika hazina habari , nchi ni kama haina msimamizi, fanya lolote isipokuwa usiwakosoe, ukiwakosoa utawaona wazee wa Noah nyeusi zisizokuwa na plate number wakijiita watekaji kumbe ni wale wale

Serikali yaani CCM Kama hamtoweka Contigency plans za kureview vibali vyote ambavyo ujenzi wake unaambatana na zero distance ya gorofa lingine, get prepared for the worst;

Ni wiki 1 tu , nilizungumzia hii ishu hapa
Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?, Leo yametokea.

Wengine tumeenda shule sio kuwa wajinga au kusujudia teuzi na uchawa, tumeenda shule ili kuwa more realistic na kuitazama dunia in a big picture

Nyie wazee wa anaupiga mwingi , ameweza ametimiza, endeleeni kupiga makofi, uzuri KKO ni njia ya Watanzania wote

PIA SOMA
- Breaking News: - Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
Ndivyo shida hii, juzi nilipita huko Kahama mitaa ya mashine za mpunga Kuna mwenye pesa mmoja anajenga godauni ameziba barabara na viongozi waziba masikio Yao !
 
Na hii ndio sababu gorofa kudondoka, kama watoa vibali wasipochukuliwa hatua stahiki, tutegemee maafa mengi, magorofa mengi ya KKO ni ya zamani, unapotoa kibali ujenzi wa gorofa lingine pembeni yake , kama Technical personnel lazima ufanye analysis na kuangalia risk kabla huja issue kibali

Huu it means tupo kwenye utawala wa hovyo usiokuwa na uwajibikaji
Watoa vibali hutoa wakiwa bar na eneo la hawalitembelei ili kutoa ushauri kiutaalamu !
 
Back
Top Bottom