Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

jana nilikuwa natoka tabora naelekea dodoma nilipofika mpakani mwa manyoni na singida nilishangaa sana yaani kila hatua 100 kuna msikiti mpya, misikiti yenyewe imefungwa haina watu..nilisikitika sana ....
pale manyoni kuelekea itigi anzia kijiji cha aghondi, mabondeni na kitopeni kuna vimisikiti vingi vimejengwa kando ya barabara hapa na hapa vinafanana ujenzi wake havina wa kusali. Kwanza maeneo hayo hakuna uislam bora hiyo misikiti waifanye maghala ya kuhifadhia mazao ya mashambani kwa wanakijiji kuliko kuwa mapagara ya popo na mijusi. Cha ajabu wamejenga misikiti mahali ambapo uislam hauna mvuto na hauhitajiki
 
Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo.

Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti imekuwa ni nyumba za popo. Misikiti hii mingi inajengwa kwa fedha zinazotolewa na wafadhili.

Vipo vitu vingi vya kujenga na M/Mungu akatulipa kama sadaka inayoendelea endapo tutaondoka katika dunia hii, mfano visima, mashule, na hospitali, lakini kuna waislamu wenzangu wanapopewa pesa na wafadhiri ili kuimarisha miradi ya waislamu, lakini kinachofanyika ni upigaji wa fedha za wafadhiri inatolewa milioni 50 unajengwa msikiti wa milioni 15 pesa yote inayobaki inaishia kwenye mifuko ya kanzu.

View attachment 2884421
Una hoja....
 
Hata ule wa magomeni kwa pesa mwarabu aliyotoa haukupaswa uwe vile wabongo wamepiga hatari
 
pale manyoni kuelekea itigi anzia kijiji cha aghondi, mabondeni na kitopeni kuna vimisikiti vingi vimejengwa kando ya barabara hapa na hapa vinafanana ujenzi wake havina wa kusali. Kwanza maeneo hayo hakuna uislam bora hiyo misikiti waifanye maghala ya kuhifadhia mazao ya mashambani kwa wanakijiji kuliko kuwa mapagara ya popo na mijusi. Cha ajabu wamejenga misikiti mahali ambapo uislam hauna mvuto na hauhitajiki
Sasa wafadhili wataionaje wakijenga nje ya barabara
 
Hao wafadhili ni wehu, bora wangeelekeza ufadhili wao kwa mataifa ya kiislam kuliko kupoteza ufadhili wao kwa taifa lisilo la kiislam. Baada ya muda itaharibika na kuhitaji ukarabati, nani atakarabati kama si wao walioijenga? Itageuka kuwa magofu na maficho ya wahalifu
 
Back
Top Bottom