Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

Wasilamu wengi hawatoagi sadaka misikitini mwao ndo maana wategemea wafadhiri waarabu tu
 
Huyo mfadhili anayetowa pesa kumpa mtu ajengewe msikiti ni poyoyo.
 
...tunajuwa DINI ni BIASHARA.....JMK
 
jana nilikuwa natoka tabora naelekea dodoma nilipofika mpakani mwa manyoni na singida nilishangaa sana yaani kila hatua 100 kuna msikiti mpya, misikiti yenyewe imefungwa haina watu..nilisikitika sana ....
Ipo pia kwenye njia ya Singida Babati. Ramani ni hiyo hiyo nadhani Taasisi iliyofadhili ni moja.
 
Hivi jamani naomba kuuliza hivi singida ukiichunguza din ipi ni wengi pale coz kidogo siielewagi mkoa ule, mikoa mingine unajua tu kwa kuchunguza tu, nyie wenzangu mkichunguza mnagundua dini ipi ni wengi pale?coz sijawahi kufika huko singida
 
anzia wilaya ya iramba na mkalama kule ni wakristo, mjini kiomboi siku ya jumapili shughuli nyingi hazifanyiki pamepoa kama moshi mkoani kilimanjaro. Iramba kuna ulitheri mwingi na madhehebu mengine yapo. Waislam ni wachache. Wilaya ya singida, jimbo la singida kaskazini ndio kuna waislam wengi, ilongero na mtinko. Singida magharibi huko sepuka kuna waislam wengi, wanapungua upande wa puma na ihanja japo kuna misikiti. Jimbo la singida mashariki kuna wakristo wengi ikungi, isuna, makiungu na mkiwa. Wilaya ya manyoni, manyoni mashariki wakristo ni wengi, waanglican, kilimatinde, solwa, kintiku, chikola na heka. Manyoni magharibu, itigi wakristo ni wengi kuliko waislam. Mkoa wa singida robo tatu ni wakristo
 
Hivi jamani naomba kuuliza hivi singida ukiichunguza din ipi ni wengi pale coz kidogo siielewagi mkoa ule, mikoa mingine unajua tu kwa kuchunguza tu, nyie wenzangu mkichunguza mnagundua dini ipi ni wengi pale?coz sijawahi kufika huko singida
singida kaskazini ndio kuna uislam mwingi. Manyoni/itigi wamisionari walifika huko pamoja na kule iramba
 
jana nilikuwa natoka tabora naelekea dodoma nilipofika mpakani mwa manyoni na singida nilishangaa sana yaani kila hatua 100 kuna msikiti mpya, misikiti yenyewe imefungwa haina watu..nilisikitika sana ....
Hiyo barabara naifaham vzuri, na unachokisema ni ukweli.

Misikiti hiyo iko karibu na itigi/manyoni.

Yan ni mita kadhaa tu kuna msikti, mpaka unaanza kujiuliza, inamaana huku waislamu ni wengi kiasi hiki, tena vijijin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…