Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

Kwahiyo mtu akihoji sitofahamu katika dini yenu anatiliwa shaka kua Sio Muslim au Sio sheikh?
Hii inadhihilisha namna gani majority yenu ni ngumbaru na wachache sana wenye akili timamu za kupambanua mambo katika hiyo dini yenu!

Imani yoyote hua na misingi yake, unapoanza kuhoji misingi ya Imani yako ni wazi tu kuwa wewe hupo pamoja nao tena.
 
Imani yoyote hua na misingi yake, unapoanza kuhoji misingi ya Imani yako ni wazi tu kuwa wewe hupo pamoja nao tena.
wewee weweee😁😁 mimi nimesoma madrasa miaka saba...utajengaje misikiti mingi kwenye eneo lisilokuwa na huduma za kijamii kama maji, shule au zahanati......ina maana hakuna waislamu madaktari na manesi?..waalimu je? mbona tupo wengi sana..
 
Upo sahihi Mkuu hasa kwa upande wa Singida DC yani misikiti mingi aitumika hasa ile yenye langi ya nyuepe na kijana sijui mfadhili alikosea wap au waumini wanashida gani na iyo Misikiti
 
Huwezi ukafananisha utawala wa wagalatia na wavaa kanzu , wavaa kanzu hawafai hata kuwa meneja wa bar tukianzia Kwa yule 2,4 na huyu wa 6 ...so ni kweli hawana akili

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
wavaa kanzu wa pwan ndo akili ziro wa bara wana akili unless wawe wale wa itikadi kali answar sunni wale daah sio
 
kwao na akina mwigulu😁
 
Hivi ni waturuki au watu kuwait mkuu
Watu wa Kuwait waliliwaaa

Wakaja wakashtuka

Wakaja nao waturuki waliliwa sana

Sahv nao wameshtuka kuna msikiti ulikuwa unajengwa kwa ufadhili wao
Uko njia unapita makabe...dah msikiti
Ulikuwa haushi watu wamejipigia San pesa pale mpaka kuja kushtuka dah

Ova
 
Kwahiyo mtu akihoji sitofahamu katika dini yenu anatiliwa shaka kua Sio Muslim au Sio sheikh?
Hii inadhihilisha namna gani majority yenu ni ngumbaru na wachache sana wenye akili timamu za kupambanua mambo katika hiyo dini yenu!
Watu wa mnyaz mungu muda mwingine wanafikiria kwa kutumia makalio
 
Upigaj kila kona mamaye
Nji hii wasilam wakiristo wote baba moya ufisadi..walosoma wasiosoma wote baba moya upigaj
Watawala na watawaliwa wote pigaji

Taifa litaendelea kwel hapo??
 

kila mtu acheze mechi zake, kwanini umlazimishe ajenge shule? kila mtu atatoa kwa kufanya anachokitaka yeye, hiyo shule kwanini usijenge wewe?
 
Acha watujengee misikiti tufe na elimu ya madufu, hii ya dunia hatuiwezi...
 
Sasa kama mfadhili ndio anataka kujenga msikiti wewe ni nani umpangie anachotaka kufanya?
 
mimi naomba kujua taasisi zinazotoa misaada ya kujenga misikiti vijijini...... Vile vile naomba kujua taasisi zinazotoa ufadhili wa kuwalipa mshahara walimu wa madrasa... Maana kijijini kwetu elimu ya dini na sehemu ya kufanyia ibada ni mtihani shekhe wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…