Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.

Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!

Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
 
Hatutaki hela za dhuluma na kunyang'anya watu zijenge barabara
 
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.

Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!

Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Ni kwa sabqbu meko ni mkurupukaji
 
Mlifanya dhuluma ya kutolipa watu mliowavunjia nyumba zao, bado mkaringia mapato kwa kunyanganya watu mitaji yao,

Huu uchumi wa nchi ulikuwa umeshajifia tayari, mahtuti upo ICU, angalau mama anafanya revival,

Afadhali kufanya kwa haki kwa baraka, nchi itapata maendeleo!
 
... from July 2021 baada ya bajeti mpya mambo yatakaa vizuri tu! Mama Samia hana guts za kwenda kufungia watu akaunti zao na kuwapora hela zao ili kuendeleza miradi. Ni laana hata mbele za Mungu.
Unadhani kufunga acount ndo kuendeleza mradi?
Account ikifungwa inabaki na pesa zake na hizo account zilizofungwa haziwezi kuwa na zaidi ya bilioni kumi, sasa hiyo bilioni kumi ndo iendeshe miladi hapa tanzania?
Muwe mnatumia akili kufikili.
Wakati wa magufuli tuliambiwa pesa za jigrni zinaweza kuendesha nchi kwa miezi 5-6 kwa sasa wanasema miezi 4 ujue kuna gap sehemu ahaliko sawa.

Mwaka 2020 tukwenda mpaka tilioni moja bilioni mia tisa lakini kwa sasa mfululizo ni 1.45 kushuka1.35.
Bilioni karibu mia 450 zinapungua kwa mwezi, unadhani hizo certificate zitalipwa kwa wakati?
 
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.

Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!

Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Mkandarasi Kakopwa san enzi za Jiwe
Hakuwa na Namna Maana alitishiwa, akiacha atatekwa na Kupotezwa kabisa na Kampuni yake kufilisiwa, hakuwa na Namna.
Sasa kwa Sababu HAKI na FURA vimerudi, ndio anadai stahiki zake.
Ile Barabara imejengwa katika Misingi ya Dhuluma, asilani mimi siwezi kuitumia.
 
Kuna rafiki yangu ni mkandarasi.Alipodai mzigo wake akaambiwa akae kimya vinginevyo atashtakiwa kuwa anamhujumu mkulu.
 
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.

Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!

Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Lawama zote kwa Magufuli!
 
Maza yupo busy na teusi hana habari na hizo mambo
 
Unadhani kufunga acount ndo kuendeleza mradi?
Account ikifungwa inabaki na pesa zake na hizo account zilizofungwa haziwezi kuwa na zaidi ya bilioni kumi, sasa hiyo bilioni kumi ndo iendeshe miladi hapa tanzania?
Muwe mnatumia akili kufikili.
Wakati wa magufuli tuliambiwa pesa za jigrni zinaweza kuendesha nchi kwa miezi 5-6 kwa sasa wanasema miezi 4 ujue kuna gap sehemu ahaliko sawa.

Mwaka 2020 tukwenda mpaka tilioni moja bilioni mia tisa lakini kwa sasa mfululizo ni 1.45 kushuka1.35.
Bilioni karibu mia 450 zinapungua kwa mwezi, unadhani hizo certificate zitalipwa kwa wakati?
Wewe unadhani bila kukwapua fedha za wafanyabiashara angeanzisha miradi! Bahati nzuri ametangulia kuzimu vinginevyo angeadhirika kwa kukosa mahali pa kukwapua!
 
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.

Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!

Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Majuzi kati nimewaona wana blow lanes na kuchora mistari nikahisi wanakamilisha hatua za mwisho za ujenzi
 
Back
Top Bottom