Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Jamani muwe mnnacha uongo kila leo watu wengi tunapita hiyo barabara tunaona wazi mradi unaendelea vyema na sasa wanachora na kweka alama .......pita ujionee muache kuongea uongo jamani....hiyo barabara imekamilika 90% msiwadanganye watu mkidhani awaoni au kutumia hiyo barabaraUkweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.