jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Ni kwa sabqbu meko ni mkurupukajiUkweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.

Unadhani kufunga acount ndo kuendeleza mradi?... from July 2021 baada ya bajeti mpya mambo yatakaa vizuri tu! Mama Samia hana guts za kwenda kufungia watu akaunti zao na kuwapora hela zao ili kuendeleza miradi. Ni laana hata mbele za Mungu.
Mkandarasi Kakopwa san enzi za JiweUkweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Kuna rafiki yangu ni mkandarasi.Alipodai mzigo wake akaambiwa akae kimya vinginevyo atashtakiwa kuwa anamhujumu mkulu.Mkandarasi Kakopwa san enzi za Jiwe
Hakuwa na Namna Maana alitishiwa, akiacha atatekwa na Kupotezwa kabisa na Kampuni yake kufilisiwa, hakuwa na Namna.
Sasa kwa Sababu HAKI na FURA vimerudi, ndio anadai stahiki zake.
Ile Barabara imejengwa katika Misingi ya Dhuluma, asilani mimi siwezi kuitumia.
Lawama zote kwa Magufuli!Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Maza yupo busy na teusi hana habari na hizo mamboUkweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
zaidi ya jiziKayafa alikuwa mwizi
Wewe unadhani bila kukwapua fedha za wafanyabiashara angeanzisha miradi! Bahati nzuri ametangulia kuzimu vinginevyo angeadhirika kwa kukosa mahali pa kukwapua!Unadhani kufunga acount ndo kuendeleza mradi?
Account ikifungwa inabaki na pesa zake na hizo account zilizofungwa haziwezi kuwa na zaidi ya bilioni kumi, sasa hiyo bilioni kumi ndo iendeshe miladi hapa tanzania?
Muwe mnatumia akili kufikili.
Wakati wa magufuli tuliambiwa pesa za jigrni zinaweza kuendesha nchi kwa miezi 5-6 kwa sasa wanasema miezi 4 ujue kuna gap sehemu ahaliko sawa.
Mwaka 2020 tukwenda mpaka tilioni moja bilioni mia tisa lakini kwa sasa mfululizo ni 1.45 kushuka1.35.
Bilioni karibu mia 450 zinapungua kwa mwezi, unadhani hizo certificate zitalipwa kwa wakati?
Majuzi kati nimewaona wana blow lanes na kuchora mistari nikahisi wanakamilisha hatua za mwisho za ujenziUkweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.