Jamani muwe mnnacha uongo kila leo watu wengi tunapita hiyo barabara tunaona wazi mradi unaendelea vyema na sasa wanachora na kweka alama .......pita ujionee muache kuongea uongo jamani....hiyo barabara imekamilika 90% msiwadanganye watu mkidhani awaoni au kutumia hiyo barabaraUkweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Hata isipoisha sawa tu. Hiyo barabara ni ya dhuluma. Haina mvuto hata design yake ya hovyo kabisa.. hata ikiisha itabomoka kama hamtalipa wale mliowadhulumu.Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
mkuu bora useme wewe watu aina hii ndio wanaifanya jf ionekane eneo la kuzusha habari....mradi huu umesha kamilika kabisa na sasa wanaweka alama na kumalizia barabara za maingiliano........humu waongo wengiMajuzi kati nimewaona wana blow lanes na kuchora mistari nikahisi wanakamilisha hatua za mwisho za ujenzi
Dikteta kichaa kawavunjia nyumba watu, kuwalipa hajawalipa, na mradi umekwama,Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Pumbavu nyie mliuziwa viwanja na watu bilakufanya utafiti mje mlaumu serkali nyieni nani? mmejaa chukitu za Kikabila mlitaka serkali ilipe fidia Mara mbili? Mtadakia tu mambo wakati ukweli mnaujua kuwa mlitapeliwa na wale waliowauzia maeneo over.Hata isipoisha sawa tu. Hiyo barabara ni ya dhuluma. Haina mvuto hata design yake ya hovyo kabisa.. hata ikiisha itabomoka kama hamtalipa wale mliowadhulumu.
🙏✍️mkuu bora useme wewe watu aina hii ndio wanaifanya jf ionekane eneo la kuzusha habari....mradi huu umesha kamilika kabisa na sasa wanaweka alama na kumalizia barabara za maingiliano........humu waongo wengi
Watu walinunua viwanja eneo la hifadhi, wacheni kulaumu bila facts. Mnajinunulia viwanja bila kufanya uchunguzi matokeo yake ndio hayo, hadi mipaka ilikuwepo..inaonekana.Dhambi waliyofanya kwenye huu mradi haitawaacha wahusika wa huu mradi. Kuwavunjia wananchi wasio na hatia nyumba zao bila fidia, halafu kibaya zaidi Ni kwamba sehemu nyumba zilipovunjwa pamebaki bila shughuli yoyote.
Ili kujinasua katika dhambi hii ya uonevu, serikali ya CCM iwape fidia japo hata flat rate ili wahanga hao ambao Kuna wajane na wastaafu wengi wakaanze Maisha mapya sehemu nyingine.
Dada sambulugu kwani wewe unaona uchungu gani hao unaosema waliingizwa Chaka wakipewa kifuta machozi?Pumbavu nyie mliuziwa viwanja na watu bilakufanya utafiti mje mlaumu serkali nyieni nani? mmejaa chukitu za Kikabila mlitaka serkali ilipe fidia Mara mbili? Mtadakia tu mambo wakati ukweli mnaujua kuwa mlitapeliwa na wale waliowauzia maeneo over.