Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiwanja kiko flat kabisa kakaUnaweza sana, especially kama kiwanja kiko flat.
Vp kuhusu mchanga, kokoto, maji, ulinzi, kifusi, mifuko 15 haitoshi kujenga idadi ya tofali ulizoweka, vip kupaua atapaua mwenyewe? Tena bila mbao wala misumari?Matofali 1000@1000= 1000000
Cement mifuko 15@15000=225000
Nondo 7@16000=112000
Mabati12@17000=204000
Milango 4@ 250000=1000000
Madirisha 5@ 350,000=1750000
Ufundi mwashi= 1200000
Jumla = 5599000
Hapo sijaweka gharama ya kuchimba choo. Mbao. Fundi wa kupau. Mchanga na maji
Ungesema upo wap angalau ungepata majibu,
Duc In Altum.
oh asante kaka nilidhani ni milion 55 na kumbe ni milion 5 na asante kwa kunionesha kuwa inawezekanaMatofali 1000@1000= 1000000
Cement mifuko 15@15000=225000
Nondo 7@16000=112000
Mabati12@17000=204000
Milango 4@ 250000=1000000
Madirisha 5@ 350,000=1750000
Ufundi mwashi= 1200000
Jumla = 5599000
Hapo sijaweka gharama ya kuchimba choo. Mbao. Fundi wa kupau. Mchanga na maji
hahahaha sasa kaka nikiondoa kazuri si itakuwa noma ..maana udogo huendana na uzuriKajumba kadogo unapata ila tu ondoa hilo neno "kazuri"
asante kwa kunitia moyo mwalimu, hiyo haina tabu ilimradi tu nimalize box mpaka kuezeka hayo mengine yatafuataUnaweza kwa kujenga ni kuezeka bati bila kusakafia
Unaweka milango na madirisha,pia ujue kuna bajeti ya choo na bafu
kaka yaani ngoja nijaribu, yah niko maeneo ya arusha lakini ni kijijini ndani huku arumeru magharibi juu ya forestWalio wengi wamekupa jibu al uongo kuwa haiwezekani, nasema ni uongo kwasababu wamekujibu bila kukuuliza mahali ulipo! Ukija Kijijini kwangu kule Maneromango unajenga vizuri kabisa mjengo very simple ila vyumba visiwe vikubwa vya kutisha, kwahio ili upate jibu sahihi lazima utueleze mahali ulipo ni wapi,..]]
asante kaka itabidi basi nianze hivyo hivyo mpaka kielelewe ....ilimradi kama nyumba itafika nakuezeka basi poa mengine itabid yaendelee badaeMkuu kujenga unajenga ila kwa m6 kuna vitu utamaliza katika nyumba ila kupaua utapaua ila finishing utaweza kamaliza kama milango ripu sakafu rangi cha msingi anza kujenga Na hiyo hiyo uku ukijibana utafanikiwa tatizo ata uwe Na hiyo m15 nyumba aitaisha kuna vitu vingi vya kuweka sawa anza kujenga uwe Na usongo Wa kuamia kwako itakufanya kuwa mbaili Na kuwekeza ela nyingi kwenye bajeti ya nyumba Na utafanikiwa
Kwa vyumba viwili inawezekana bhana, usiogope, ukiishia njiani ndio mwanzo wa kupata akili nyingine. Utakatishwa tamaa hapa mwisho utaishia "kuitumia Guest" hio amount au atakuja mtu hapa akutapelikaka yaani ngoja nijaribu, yah niko maeneo ya arusha lakini ni kijijini ndani huku arumeru magharibi juu ya forest
asante Dori, tofali za kuchoma kwa kweli mimi ninazipenda hasa ukijenga kwa kuzichora nyumba inakuwa poa inaondoa gharama zakufanya finishing kwa njeUnaweza sana tu,lkn inategemea eneo.tumia tofali za kuchoma&uchome mwenyewe.tofali elfu kumi ni laki 2 mtu akikufyatulia.gharama za kuni ni laki 1.matofali hayo yanajenga vyumba 4-5.kujenga chumba kimoja ni laki moja.kuchimba mashimo shimo kubwa laki3+kujengea laki 2na nusu,hujaomba heri.shimo dogo laki 1na nusu kuchimba kujengea laki 1:Tofali za shimo kubwa+dogo ni laki 5 hv.madirisha yako 3 makubwa.sebuleni+vyumba 2 vya kulala.KWA HIYO PESA UNAJENGA&UNAHAMIA.
hahaha asante kakaKwa vyumba viwili inawezekana bhana, usiogope, ukiishia njiani ndio mwanzo wa kupata akili nyingine. Utakatishwa tamaa hapa mwisho utaishia "kuitumia Guest" hio amount au atakuja mtu hapa akutapeli
Huwezi(kama upo dar)
Labds tofali za kuchoma
kaka yaani ngoja nijaribu, yah niko maeneo ya arusha lakini ni kijijini ndani huku arumeru magharibi juu ya forest
Huko ndio tabu kabisa mchanga ni ghali sana, nakushauri uanze na hizo hutamaliza lakin utafika mahali flan baadae utamalizia.maeneo ya arusha, wilaya ya arumeru magharibi