Ujenzi wa Nyumba: Je, ninaweza kujenga kanyumba kadogo kazuri kwa bajeti ya Mil. 6!?

Ujenzi wa Nyumba: Je, ninaweza kujenga kanyumba kadogo kazuri kwa bajeti ya Mil. 6!?

TUMIA WEEKEND ZAKO KUFYATUA TOFALI WEWE MWENYEWE.
TAFUTA KIBARUA MMOJA AWE ANAKUSAIDIA AMBAYE ANAASILI YA UFUNDI JAPO KIDOGO.
BUNI RAMANI YAKO KICHWANI.
CHIMBA MSINGI ANZA KUMIMINA ZEGE LAKO CHINI KATIKA MZUNGUKO WA MSINGI WAKO.
ANZA KWA KULAZA TOFALI KTK MZUNGUKO WOTE/
KOZI SITA.KTK KOZI YA TATU YA TOFALI HIZO LAZIA SENYENGE,HALAFU JAZIA HIZO KOZI TATU.
FEED NDANO YA MSINGI KWA UDONGO UKIACHA NUSU RULER TU KULINGANA NA TOFALI ZA NJE.
NUNUA MOIST PROOF PAPER TANDIKA KTK MZUNGUKO WOTE KWA NJE.
ANZA KUNYANYUA TOFALI ZAKO.
 
Kiwanja anacho tayari. Kwa 6m anajenga kanyumba kadogo msimuogopeshe. Sikia rafiki, unaweza jenga. Tumia bati za kawaida ila ziwe grade 28 bundle@240k, silingboard si lazima kuweka, madirisha weka ya kawaida(mbao)@120k, milango ni 4@180k, ujenzi wote msingi had paa 1.3m. Tofali 1800@1000 zinatosha hadi karo la maji taka.
Mbona una mchuuza? Kwa hesabu yako hapo juu
matofali 1,800,000
milango 720,000
madirisha sita 720,000
mabati approx 720,000
ufundi 1,300,000
jumla 5,260,000

Bado mbao za kuezekea,misumari, cement ya kujengea,mchanga,kokoto,nondo za ring beam,maji, vifaa vya mabomba,vifaa vya umeme itatosha kweli?
 
haitoshi kwa Dar es Salaam,
Mkoa mwingine unaweza.
 
Utaweza kaka sema ujenge kwa phases...phase 1 iwe chumba kimoja kikubwa(4*4)...usianze kwa zege kwn msingi anza kupanga tofali baada ya kuchimba funga mkanda jenga bo ma ikifika kwn kuezeka weka mbao untreated zikae mbali mbali ili zitumike chache alafu bati weka zile za kawaida(aluminium) then milango tafuta ile ya mbao za mnazi au zingine za bei rahisi weka mlango wa mbele basi.

Kuhusu mafundi nenda kibaha huko au mlandizi wachukue wahamie site ww wape unga na maharage kwisha achana na mafundi wa dar utalia.
 
Jamaa yangu haya ndio matumzi safi ya mtandao sasa naingia kwenye mimi ni Fundi nyumba unayotaka kwa ml6 kwa kajumba hapo hela haitoshi mtu wangu labda baadhi ya matirial kama mabati.matofali na msingi uwe tayari umejengwa lakini kwa kua sifahamu unataka kujenga mkoa gani au maeneo gani maana kila sehemu na gharama zake nipigie 0787067886 nikuelimishe zaidi
 
2 bedrooms, jiko,sebule hutaweza hata 10m haitoshi kujenga mpaka iishe.
Sio tu kuisha... bali hata kufikia kiwango cha kuweza kuhamia kimaskini haitoshi!... Labour charge tu ya ujenzi wa nyumba kama hiyo unadhani itakuwa shingapi??
 
Mpaka hapo naona 2mil na ushee imekwsha doo!!
TUMIA WEEKEND ZAKO KUFYATUA TOFALI WEWE MWENYEWE.
TAFUTA KIBARUA MMOJA AWE ANAKUSAIDIA AMBAYE ANAASILI YA UFUNDI JAPO KIDOGO.
BUNI RAMANI YAKO KICHWANI.
CHIMBA MSINGI ANZA KUMIMINA ZEGE LAKO CHINI KATIKA MZUNGUKO WA MSINGI WAKO.
ANZA KWA KULAZA TOFALI KTK MZUNGUKO WOTE/
KOZI SITA.KTK KOZI YA TATU YA TOFALI HIZO LAZIA SENYENGE,HALAFU JAZIA HIZO KOZI TATU.
FEED NDANO YA MSINGI KWA UDONGO UKIACHA NUSU RULER TU KULINGANA NA TOFALI ZA NJE.
NUNUA MOIST PROOF PAPER TANDIKA KTK MZUNGUKO WOTE KWA NJE.
ANZA KUNYANYUA TOFALI ZAKO.
 
Unaweza kabisa ukajenga nyumba na ukaishi,japo kuna vitu kadhaa hutakamilisha lakini nyumba itafaa kwa maisha then vichache vilivyobaki utamalizia pole pole,sharti upangilie hela yako vizuri na amua kununua mahitaji kwanza uweke chini kabla ya kuanza kazi!
 
Back
Top Bottom