Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mbona una mchuuza? Kwa hesabu yako hapo juuKiwanja anacho tayari. Kwa 6m anajenga kanyumba kadogo msimuogopeshe. Sikia rafiki, unaweza jenga. Tumia bati za kawaida ila ziwe grade 28 bundle@240k, silingboard si lazima kuweka, madirisha weka ya kawaida(mbao)@120k, milango ni 4@180k, ujenzi wote msingi had paa 1.3m. Tofali 1800@1000 zinatosha hadi karo la maji taka.
well said!Huwezi, labda kichumba kimoja na sebule ambalo ndio utafanya jiko, usiku chumba cha kulala.
kosa langu nilimaanisha 10^5 =k na 10^6=m.k
how much is K..navyofahamu K means * 1000
Sio tu kuisha... bali hata kufikia kiwango cha kuweza kuhamia kimaskini haitoshi!... Labour charge tu ya ujenzi wa nyumba kama hiyo unadhani itakuwa shingapi??2 bedrooms, jiko,sebule hutaweza hata 10m haitoshi kujenga mpaka iishe.
Hivi si amesema ana 6m?? hizo extra 5m utampa?Kanunue container ready made 11mil
TUMIA WEEKEND ZAKO KUFYATUA TOFALI WEWE MWENYEWE.
TAFUTA KIBARUA MMOJA AWE ANAKUSAIDIA AMBAYE ANAASILI YA UFUNDI JAPO KIDOGO.
BUNI RAMANI YAKO KICHWANI.
CHIMBA MSINGI ANZA KUMIMINA ZEGE LAKO CHINI KATIKA MZUNGUKO WA MSINGI WAKO.
ANZA KWA KULAZA TOFALI KTK MZUNGUKO WOTE/
KOZI SITA.KTK KOZI YA TATU YA TOFALI HIZO LAZIA SENYENGE,HALAFU JAZIA HIZO KOZI TATU.
FEED NDANO YA MSINGI KWA UDONGO UKIACHA NUSU RULER TU KULINGANA NA TOFALI ZA NJE.
NUNUA MOIST PROOF PAPER TANDIKA KTK MZUNGUKO WOTE KWA NJE.
ANZA KUNYANYUA TOFALI ZAKO.